Hatimaye Erickb52 awa Mod wa Chit-Chat

nilijua peke yangu....

Hivi TANMO mpaka nikuandikie love letter nimpe Erickb52 akuletee ndo ujue jinsi gani unaunyanyapaa moyo wangu......

Nimepata makengeza ya ghafla au naona vizuri???? Babu Asprin njoo pande hizi kuna zawadi nataka kupatia veve
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 kwa taarifa yako siendagi kwenye misuto lakini wa kwako niko tayari hata kuwanunulia sare Zinduna & co na kuaanda msuto mzima,mwanzo-mwisho.
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 kwa taarifa yako siendagi kwenye misuto lakini wa kwako niko tayari hata kuwanunulia sare Zinduna & co na kuaanda msuto mzima,mwanzo-mwisho.

Nimetoa onyo kwa yeyote atakayeanzisha msuto atakula life ban bila mjadala
 
Last edited by a moderator:
Yummy,
umeona babu yako Asprin alichonitenda mara baada ya kumuona afrodenzi? Hamu sina mie, sijui kwa kuwa anaona nimeoza juu yake ndo ananiletea viroja........

Nimepata makengeza ya ghafla au naona vizuri???? Babu Asprin njoo pande hizi kuna zawadi nataka kupatia veve
 
Last edited by a moderator:
Mie nipige ban tu, naona muda wangu mwingi naupoteza huku, nashindwa hadi kumpa chakula cha usiku mume wangu, hamu ya nonino na mume wangu imeniisha muda wote namwaza Erickb52 tu.
 

Hivi ndo gear uliyoona inafaa kuwapata mademu kupitia chit chat,you can excuse Baba V,amenambia anatumikia ban ya mwezi mmoja!
 
Last edited by a moderator:
huyo aliekupa umods wewe amekosea kutazama kabisa au amekosea hebu aangalie vizuri teh teh teh:mod::mod::mod:😛arty:
 
Asprin naomba nikumbushe leo ni saa ngapi, dakika ngapi, sekunde ngapi, na kama pasaka imepita au bado,? Erickb52 aslam aleykum kha!
 
Last edited by a moderator:
nilikuwa usingizini nikahisi naota kumbe kweli Erickb52 task yako ya kwanza ni gani?
 
Last edited by a moderator:

ukiwa mod tu naacha kushinda JF
 
Last edited by a moderator:
mkuu unajua unanisikia??..mi sipigwi ban. hata wakinipiga zinadunda kama yoyo. vilevile mimi nmeshindikana. wanaonifuatilia nawatoa kwenye mstali yaani nawapoteza mbaya. kama hauamini muulize INNOVATOR, PainKiller, Fung na Paw. chezeya mimi weye. mia
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…