Haikuishia Hapo
Member
- Jan 13, 2017
- 67
- 49
Ni katika uwanja wa Aman pale Zanzibar hatimaye maombi ya wauza magazeti wa Tanzania (Yanga) kuomba Simba ifungwe ili magazeti yao yaweze kuuzika dua hilo lilifanikiwa hapo jana ........Kwa taaaaaabu sana Mnyama Simba kakubali kuwaachia walau Azam nao washinde kikombe hicho cha Mapinduzi kwa goli moja tu ili iwe afadhari kwa wauza Ice cream hao maana msimu huu hawana chao. ....
Swali je Wauza magazeti, biashara Leo vipi ..?...au bora tungewafunga lamba lamba hapo jana. ..?
Swali je Wauza magazeti, biashara Leo vipi ..?...au bora tungewafunga lamba lamba hapo jana. ..?