Hatimaye Dr. Slaa aonekana, asema kuzungumza muda ukifika

Hatimaye Dr. Slaa aonekana, asema kuzungumza muda ukifika

Hii picha ya kitambo sana



hiyo picha ni current maana t shirt aliyovaa huyo mama ni zile za jana lakini ukweli alishausema mbowe kwamba mzee waliongea naye wakakubaliana apumzike baadae atajoin chamani na kuendelea na shughuli zake.lakini pengine ni mbinu za ukawa kujifanya wanatofautiana ili adui ashindwe kujua mbinu ya kuwatenganisha nawasilisha
 
Hongera Kiongoz RUCCI kwa habari njema na yenye afya kw mustabali wa UKAWA na Ushindi October...
 
Lazima kaomba alipwe mshahara mnono ndio apige campaign...

Teh Teh
Hakika ndoto zake zimefifia..
 
Picha siyo ya leo, cdm members, and ukawa fans your leaders might be wrong learn to think for yourself
 
Cheers.....

mwacheni mzee wa watu apumzike, mshamkata alafu bado mkamtishia maisha, na bado mnamlazimisha aje ampigie kampeni fisadi mliye kula pesa yake. Nyie watu mbona washari kiasi hiko kwani mzee wa watu kazaliwa na hiko chama chadema?? Tena michadema mingi inanufaika na matunda ya serikali ya ccm, tunawafahamu hata fisadi lowasa ni mnufaika mkubwa wa kazi nzuri ya ccm kuanzia kusomeshwa bure na kupata fursa ya kutumikia chama cha mapinduzi na serikali japo alikuwa mwizi, unakuta mtu yupo amesoma na kupata wadhifa mzur serikalini ndo kinara wa kushabikia chadema na ufisadi wake kisa ni chama cha kikabila na ukanda
 
nyumbani kwangu aje dume lingine alafu wife ampe cheo na kipaumbele kuliko mm na watoto wamshikie mabango! how does it feel
 
Back
Top Bottom