Hatimaye Dk. Juma Mwaka ajisalimisha Polisi

Hatimaye Dk. Juma Mwaka ajisalimisha Polisi

Usipende kwenye maisha uwe mfano hapa kuna kitu nakiona huyu mwaka anaweza akawa mfano Na akala mvua za kutosha Na msiamini ujanja ujanja ni mbaya ishi kwa kufata Sheria
 
Intelijensia ya Polisi kali. Amekamatwa ndani ya masaa 24 kama walivyoagizwa...?
 
hivi nani alikwenda polisi na akabaki huko? basi hapo ndio kesi imekwisha mbona kishafika polisi basi
 
d31af8f450522495d828eac335b39b28.jpg
uku wamewema kajisalimisha na kesho atarudi kwa mahojiano.
Ndiyo pale inapodaiwa kuwa “UNASAKWA”na JESHI la polisi huku wewe unaendelea na shughuli zako kama kawaida bila hata kusikia kuwa kuna mtu amekuulizia!! Silly hunter hits around the bush!
 
Huwezi kushindana serikali! nilishuhudia uvunjwa wa nyumba kupisha upanuzi wa barabara ndipo nilipoapa sitashindana na serikali kamwe! huyo doctor wanaomdanganya wanamdanganya vibaya
 
msaka tonge huyu kuna kipindi aliingia kwenye maigizo ya bongo move akawa anajinadi amerekodi move yake kwa million of money kwenye kipindi cha hot mix,na kwamba kamera na vifaa vingne vilivyotumika ni vya kisasa vipande vilivyoanza onyeshwa alikaa kimyaa maana ni very low quality move mpaka mtangazaji akashanga,Xo huyu bwana ni msaka tonge hana lolote lile
 
  • Thanks
Reactions: MC7
this time,polisi watapata shida sana!! shuruti na maagizo toka kwa wanaojiona wao ndio wenye sauti ndani ya nchi hii!!!
 
kigwangala kama umefanya kusudi au kwa nia mbaya ya kumkamata au kumdidimiza huyu jamaa bhas ujue mwisho wake ni mbaya
 
Aanzeni na baby wa loliondooo,maana hata magu alienda kunywa kikombe
Soma uelewe, nimesema vigagula vyote Na matapeli wenzao....... Babu wa Loliondo hakuwa anaji market wala nini, huyu Ana ji marketi Na anatumia lugha za kilaghai Kama daktari aliehitimu mafunzo......
Washughulikiwe wote kwa mujibu wa sheria
 
Kama kweli amekutwa na boksi 200pcs dawa za hospital hapa TFDA wanahaki ya kuchukua hatua za kisheria .Sheria ichue mkondo wake.
 
Jeshi la polisi linamshikilia tapeli Tabibu Juma Mwaka wa ForePlan clinic anayejifanya yeye ni Medical Doctor na kutibu kwa kutumia vifaa vya kisasa asivyo na utaalam navyo.

Afadhali, labda dada zetu angalau watapumua kutokana na utapeli wa dawa feki za huyu daktari uchwara.
 
wampeleke mahakamani,kule ndo kila kitu siyo wamfiche chemba baadae tusikie mengine
 
Back
Top Bottom