Hatimaye Dk. Juma Mwaka ajisalimisha Polisi

Hatimaye Dk. Juma Mwaka ajisalimisha Polisi

Baada ya kupewa adhabu wenzake wakatii yeye kwa ujanja ujanja akabadili jina la kampuni kutokana Foreplan herbal clinic kuwa Foreplan (T) Limited na kuendelea kutoa huduma ileile, hilo ndilo kosa lake.
Walianzaga Wakina mama terry,akaja Yule alikuwa na ofisi yake magomeni Jina nmemsahau,akaja baby wa loliondo,ukienda opposite na Hindu mandal Kuna jamaa wana kituo chao nao wanasema wanaponyeshaa watu....Hao dawa zao wanakuambiaa usiweke karibu ya tv ama radio....Haya Kuna Huyu rahabu,akaja Dr Mwaka .......
Mwaka na kigwagala ni uhasama tu....utakuwaa
Ni kweli Mwaka katengeneza hela sanaa kupitia tiba hizi lakini siku zote hawa sijui tuwaite wenye shida ambao wanakwenda huko ndiyo tatizo....
SAHIVI TUNASUBIRIA NANI ATAIBUKAAA BAADA YA DR MWAKA
 
wampeleke mahakamani,kule ndo kila kitu siyo wamfiche chemba baadae tusikie mengine
Unashauri apelekwe mahakamani lakini wanasiasa wetu hawaiamini mahakama ila mikutano ya hadhara na maandano!
 
Safi sana.
Huyo jamaa ni tapeli sana
Utagemea kujenga na kumiliki uchumi bila kuwa tapeli, serikali ya CCM imekuwa ikitapeli watanzania kwa miaka mingapi? Kila mahali ni shida, kila mmoja alikuwa anakula kulingana na ukubwa wa makucha yake
 
Maigizo yanaendealea, wizara ya afya haina mambo ya msingi ya kushughulikia tofauti na suala la Mwaka?
 
Baada ya kupewa adhabu wenzake wakatii yeye kwa ujanja ujanja akabadili jina la kampuni kutokana Foreplan herbal clinic kuwa Foreplan (T) Limited na kuendelea kutoa huduma ileile, hilo ndilo kosa lake.

Alibadili baada ya kufungiwa
 
Huenda umekutana na pacha wake! Mleta uzi anasema umeshikiliwa na polisi. Sasa inawezekanaje awe sehemu mbili kwa wakati mmoja!?
Vyombo vyetu vya usalama unavijua? Wanafungwa masikini tu, Mwaka ana pesa, kaenda kujisalimisha kaachiwa kuja kunywa chai. Pesa pesa mkuu, ukiwa pesa askari dhaifu.
 
Walikuwa wanafuata watoto, ujasikia mwaka anakwambia amenusuru ndoa nyingi, wamama wakimuona hata kumshika mkono tu wanazaa hapohapo
Hahahaa eti hata wakimshika mkono tu wanazaa.
 
View attachment 379395jambazi mwingine huyu hapa anayejiita Dr. Rahabu Lubago, kawaliza wengi na majani ya mipapai eti anatibu vidonda vya tumbo!
Nchi hii imejaa wachumia tumbo wengi (wanasiasa, wahubiri, waganga, eachawi, tabibu, nk) kwa sababu ya upumbavu na ulofa wetu.

Elimu ipanuliwe na kuboreshwa kwenye nyaja zote, ili Watanzania waondokane na ujinga waweze kutumbua haki na wajibu wao.
 
Kwani ukumsikie Mamvi wetu anakwambie elimu, elimu, elimu. Ina maana nchi wajinga hii, ukitaka kuvuna pesa Tanzania ni sehemu ya kuvuna maana wajinga ni wengi.
 
Kuibuka kwa watu aina ya kina Dk Mwaka ni viashilia vya udhaifu wa serikali yetu katika kusimamia na kuboresha huduma za afya.....

Wakati serikali kupitia wizara husika wakihangaishana na hao matapeli wa tiba....na wao hawana budi kujitafakari walipojikwaa ili kuweka mambo sawa.....kinyume na hapo watakuwa wanatwanga maji kwenye kinu.......

Wanatakiwa wajiulize kwanini wananchi wengi nyakati hizi wanakimbilia tiba mbadala.....!!???

Ukiacha miundombinu mibovu ya huduma za afya vile vile wananchi wanakimbizwa na huduma mbovu za watendaji kwenye sekta ya afya..........

Baada ya kumalizana na hao matapeli pia wahusika tuliowapa jukumu la kusimamia afya zetu wajipime wenyewe kuwa wanastahili kiendelea kuwepo mahali hapo...kulingana na uwajibikaji wao ndio utakuwa mwisho wa hao matapeli wa tiba wanaochezea kamali afya za waTanzania.........
 
Walianzaga Wakina mama terry,akaja Yule alikuwa na ofisi yake magomeni Jina nmemsahau,akaja baby wa loliondo,ukienda opposite na Hindu mandal Kuna jamaa wana kituo chao nao wanasema wanaponyeshaa watu....Hao dawa zao wanakuambiaa usiweke karibu ya tv ama radio....Haya Kuna Huyu rahabu,akaja Dr Mwaka .......
Mwaka na kigwagala ni uhasama tu....utakuwaa
Ni kweli Mwaka katengeneza hela sanaa kupitia tiba hizi lakini siku zote hawa sijui tuwaite wenye shida ambao wanakwenda huko ndiyo tatizo....
SAHIVI TUNASUBIRIA NANI ATAIBUKAAA BAADA YA DR MWAKA
Hakuna uhasama Kigwangallah anatimiza wajibu wake.
 
Tatizo ni matatizo, mtu akiwa na afya awezi kwenda kwa hao watu. Matangazo mengi ili kuvutia wenye matatizo kuwafuata. Wanatumia matatizo ya watu kupatia utajiri. Wanasema kufa kufaana, ili mtengeneza majeneza apate chakula lazima aombe mtu kufa, kufa kwa mtu ni furaha kwa mtengeneza jeneza. Mwaka kiuhalisia ni Tapeli, lakini tapeli anayetumia akili nyingi. Maana akikupiga pesa za kutosha uwezi kwenda mahakamani kudai hiyo pesa au kusema Mwaka kanitapeli. Utaulizwa kwani alikufuata kwako? Jibu ni hapana ulikwenda mwenyewe na pesa ulitoa mwenyewe kama hukupona basi. Kiendacho kwa mganga akirudi.

Mwaka tapeli, tapeli, tapeli kama matapeli, matapeli wa kisiasa.
 
Back
Top Bottom