Ungesubiri kidogo kabla ya kushangilia. Hadithi ya Uganda na reli ya Tanga, bomba la mafuta la Tanga, bandari ya Tanga ni ya muda mrefu na haina mwisho - "It is a never enfing story"
Ndiyo maana nasema tuwe na subira kabla ya kushangilia. Total wana investment kubwa Kenya kuliko huku kwetu na hawajaogopa huo usalama. Hivi TULLOW oil walishaachia hisa zao kwenye mafuta ya Uganda?Tofauti ya hapa kwenye Bomba la mafuta na Reli ni kwamba kwenye Bomba la mafuta kampuni ya Total ambayo ndiyo yenye mkwanja ndiyo wanataka Bomba lipitie kwetu badala ya Kenya na huu mvutano umekuwepo siku nyingi Waganda na Wakenya walishakubaliana kwamba Bomba lipitie Kenya lkn CEO wa Total amegoma na anataka kwetu kwa sababu za kiusalaama amesema hawezi kuwekeza fedha kwenye eneo lisilo salama kumbuka Total wanawekeza 4 bilion US Dollars!
Hiyo ndiyo tofauti na blah blah za Reli, kwani hapa Bomba ni lazima lijengwe kwa ajili ya export ya Mafuta, na CEO wa Total hataki hata kusikia habari ya Kenya!
Ndiyo maana nasema tuwe na subira kabla ya kushangilia. Total wana investment kubwa Kenya kuliko huku kwetu na hawajaogopa huo usalama. Hivi TULLOW oil walishaachia hisa zao kwenye mafuta ya Uganda?
MIKATABA MIBOVUNafikiri labda haujaelewa suala zima linahusu nini!
Ni hivi Uganda wanataka tu kutumia Bandari na ardhi yetu kusafirishia Mafuta yao kwa kifupi hakuna tofauti na Zambia wanavyotumia Bandari yetu kusafirishia Shaba yao, hivyo sisi tutalipwa kwa matumizi ya bandari yetu na pia bomba kuwa kwenye ardhi yetu sasa sielewi hapo tatizo lako liko wapi?
Kama jambo hulijui ni bora kunyamaza. Aliyekaririwa ni Museveni siyo JPM.Magufuli amekurupuka..bomba la mafuta litawanufaisha waganda..tumekula hasara
Huyo CEO Ana Akili sana sana....Kaona wakenya sio....Safi sana sana sana Mkuu...Tofauti ya hapa kwenye Bomba la mafuta na Reli ni kwamba kwenye Bomba la mafuta kampuni ya Total ambayo ndiyo yenye mkwanja ndiyo wanataka Bomba lipitie kwetu badala ya Kenya na huu mvutano umekuwepo siku nyingi Waganda na Wakenya walishakubaliana kwamba Bomba lipitie Kenya lkn CEO wa Total amegoma na anataka kwetu kwa sababu za kiusalaama amesema hawezi kuwekeza fedha kwenye eneo lisilo salama kumbuka Total wanawekeza 4 bilion US Dollars!
Hiyo ndiyo tofauti na blah blah za Reli, kwani hapa Bomba ni lazima lijengwe kwa ajili ya export ya Mafuta, na CEO wa Total hataki hata kusikia habari ya Kenya!
Mbona hata USA wana hazina kubwa ya mafuta kule Alaska lakini wanaagiza toka Uarabuni.Hawa jamaa si wamegundua mafuta kule kwao? sasa wanataka mafuta mengine ya nini? Hapa kutakuwa na jipu kwenye hili bomba
Kivipi tumepata hasara?Magufuli amekurupuka..bomba la mafuta litawanufaisha waganda..tumekula hasara
Watanzania tunashida ambayoo sijui ni kipaji au laa
Moja hata hatujui terms na condition ya huo mkataba lakini tunabisha tuu
Yaani mtuu anatoa maelezo utadhani anaelewa kumbe nae anasikia tu
Naa hii dhana ya kuamini sijui ikoje
Kiuhalisia hivi mafuta yakitokea uganda na yakitoka uwalabuni inamaana selling price itakuwa sawa?
Tujalibu kuwa wazalendo kidogo na kama hatuelewi bora tuwe wapole kidogo