johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,004
- 142,038
Nipo hapa naangalia kipindi cha Clouds 360, hongera Ruge kwa kutimiza ahadi kwamba mtarejea hewani soon!
Kupongeza ni epidemic.Nipo hapa naangalia kipindi cha Clouds 360, hongera Ruge kwa kutimiza ahadi kwamba mtarejea hewani soon!
Miye sijui kizungu mkuu naombe unitafsirie!Kupongeza ni epidemic.
Nisamehe bure hata mimi sio mtaalam wa lugha hiyo "Epidemic" kwa tafsiri isiyo rasmi ni "ugonjwa wa kuambukiza" mara nyingi huibuka kama mlipuko.Miye sijui kizungu mkuu naombe unitafsirie!
Hahahaa nimekusoma mkuu!!Nisamehe bure hata mimi sio mtaalam wa lugha hiyo "Epidemic" kwa tafsiri isiyo rasmi ni "ugonjwa wa kuambukiza" mara nyingi huibuka kama mlipuko.
Mbona haikuchua mda mrefu cloud tv ilirudi hewani hiyo janaNipo hapa naangalia kipindi cha Clouds 360, hongera Ruge kwa kutimiza ahadi kwamba mtarejea hewani soon!
OkMbona haikuchua mda mrefu cloud tv ilirudi hewani hiyo jana
Back up system ime-play part yake.Mbona haikuchua mda mrefu cloud tv ilirudi hewani hiyo jana
Anamaanisha epidemic diseaseMiye sijui kizungu mkuu naombe unitafsirie!