Kipindi cha Clouds 360 ina ujuaji uliopitiliza mpaka wasichokijua

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,739
Hiki kipindi cha clouds 360 na vyengine vilivyopo kwenye maredio na online TV vimezidi kwa kweli.

Nieleze kwenye hiki kipindi cha clouds 360 ikiongozwa na hawa watu watu tena mmoja anajifanya mrithi wa marehemu kibonde japo viatu vyake ajaweza kuvivaa.

Kuanzia kipindi kinaanza ni mwendo wa masihara na ujuaji wa kila jambo. Weledi wa kipindi hujulikani ni kama mnajadili wenyewe mlivyonavo kichwani mwenu.

Kilichonishangaza kabisa mambo makini ya kitaifa mnaleta masihara na ukomedi sana.
 
Hiki kipindi cha clouds 360 na vyengine vilivyopo kwenye maredio na online TV vimezidi kwa kweli.

Nieleze kwenye hiki kipindi cha clouds 360 ikiongozwa na hawa watu watu tena mmoja anajifanya mrithi wa marehemu kibonde japo viatu vyake ajaweza kuvivaa.

Kuanzia kipindi kinaanza ni mwendo wa masihara na ujuwaji wa kila jambo.

Weledi wa kipindi ujulikani ni kama mnajadili wenyewe mlivonavo kichwani mwenu.

Kilicho nishangaza kabisa mambo makini ya kitaifa mnaleta masihara na ukomedi sana.
 
Hicho kipindi toka alivyoondoka Hudson Kamoga tu kikawa cha hovyo hovyo tu
 
Tatizo akili ndogo....uwezo wao Wa kudadavua mambo ya msingi hawana, ovyo ovyo tu. Ujinga mwingiiiii!!!

Kusaga anatakiwa apange upya vichwa vya kazi sio wapiga soga!
 
Hicho kipindi ukiangalia mtu mwenye akili timamu unaweza kutapika, huwaga napita juu kwa juu

Ila siwalaumu sana njaa ni mbaya sana muda mwingine inabidi uwe ZEZETA kama hao jamaa
 
Hao jamaa wanaeleweka vizuri tu, kwanza ni wabunifu. Clouds wote ni wabunifu wa vipindi vyao ndio maana wanaigwa sana na wengine. Clouds media wameamua kujitofautisha na wengine hata usomaji wa taarifa ya habari uko tofauti na wengine.

Hicho kipindi cha 360 ni kipindi kimoja cha asubuhi chenye segment nyingi ndani yake ikiwemo uchambuzi habari magazetini. Huo uchambuzi wa habari magazetini tu ni tofauti na wengine wanaosoma vichwa vya habari kwa haraka na kupita bila kueleweka.

Huyo jamaa bonge kwenye hicho kipindi kusimaa kwake mwanzo mwisho bila kukaa ni ubunifu tosha japo wengine nao wameiga staili hiyo. Kwa ujumla clouds media wamekuwa role model kwa wengine kuiga ubunifu wa vipindi vyao japo tasnia ya habari ni sanaa ingawa haitambuliwi na BASATA kama ni sanaa.
 
Pj,bint Lind,na master mwenyewe Dr. naawakubar Sana, kila mmoja ana approach yake nzur Sana, Pj anapenda Sana kuongea Kwa nadra Sana, afu kama vile hamjuhi sn mambo, Ila utagundua uwezo wake anapokuwa anasema swali Kwa MTU. Ndo unatambua anajua vipi;, Binti Lind amekaa kabisa kama dem (ladies character), hasa kuwa speaker, Mr short but fat ni analyst mzur Sana anajua kutafuta taarifa, na anajikubari, Yule Dogo mchambuz WA Mpira na MICHEZO NI full artist anajua ku organise message kama anatunga mashairi. IPO siku ntampa shavu la world tour. Kofia inampendezesha zaid kuliko kusuka...anajua kuvaa kupendana na mwili.
FB_IMG_1676148881578.jpg
 
360 alivyoondoka kamoga kikawa taabani icu akaja hassani ngoma kimeenda kikiwa icu, alipoondoka hassani ngoma 360 clouds akaja huyu cheupe mvaa mkufu kuonyesha dini yake ndio kikazikwa kinondoni, wao ni kunywa kahawa utafikiri kwao wametoka bila kunywa chochote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom