Hatimaye Chadema yateka vijiji

Tunavyokwenda sasa ni jino kwa jino tu maana ukiwa mpole sana unaitwa mjinga
In God we Trust
 
Yaliyopita siyo ndwele sasa tunatazama mbele na daima mwanajeshi haogopi maiti vitani
Kwa jinsi Magu alivyo li "terolise" taifa" upinzani msitarajie kitu. Mtapigwa wazi wazi na kunyang'anywa haki na halali zenu nyingi pasipo msaada. Rejea chaguzi ndogo zilizo pita.

In God we Trust
 
Hiyo T-shirt Kali sana, wapeni wamachinga watutembezee na mpunguze bei,si chama kina ruzuku? Uzeni hata kwa ten ten.ambayo ni affordable.
Zimechorwa mapanga kwa kutumia damu ya R.I.P. Akwilina, Mbowe bora azeeke huko aliko!
 
Selfie za siku hizi matata kweli!
BTW Aluta Continua!
 
Inawezekana hata hii shule ilijengwa wakati wa utawala wa chadema

In God we Trust
 
Unadhania cdm ni sawa na ccm mlio kimilikisha chama kwa malaika?
In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…