Hatimaye chadema washindwa kufanya mkutano Arusha

Wikiliki

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
528
139
Wana jf ule mkutano wa CHADEMA Arusha ulikuwa ufanyike leo umeshindwa kufanyika baada ya polisi kuzingira eneo la mkutano. NMC ground.
 
Inamaana polisi ndo wamefanya wao. Polisi Jamii au Polisi antijamii. Enzi za Udikteta zimerejea tena lakini kipindi hiki na kijacho jamii itakuwa na nguvu zaidi.
 
Dooooooh! Huyo RPC mpya amekuja moto moto kweli. Inasemekana wangelimuweka benchi mapema mtangulizi wake Mh. Lema hasingeliambulia chochote.
 
Back
Top Bottom