mmh!dola 6000 kwa hicho kipikipiki kimoja,nanusa harufu ya ufisadi au ndo mambo ya zabuni??bajaji 400 si zinaishia mbagala tu,kuna wanawake wangapi wanapata ujauzito..wao wanatembelea mavx
ha? hivi kumbe zile kampeni za pikipiki ni za ukweli? Tumerogwa TZ live nawaambia kha?? am speechlless
ole wao watuulie wake zetu kwa ajali. USELESS GOVERNEMENT
Pikipiki hizo kila moja imegharimu Dola za Kimarekani 5,900.