Uchaguzi 2020 Hatimaye CCM yajifuta rasmi Mtwara na Lindi

Wakati serikali ina hamasisha watu wajitokeze kwenda kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi mkuu Chadema walikua wakihamasisha watu wa Susie Mbaka ipatikane katiba mpya,chakushangaza baada ya matokeo ya uchaguzi wata lalamika wameibiwa kura.
 
Furahi sasa na wewe umeanzisha uzi JF
 
KWA MAENDELEO YA KWELI
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#Magufuli5Tena

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app

Maendeleo ya kweli ya Magufuli ndiyo haya ya utapeli ??

Your browser is not able to display this video.
 
Mnajidanganya Sana, Kwan wabeba mizigo wanafika 500 hapo bandarini? Fuckin shit mtashinda mitandaoni tu kusini kijan
Kati ya wajinga wa jf wewe ni mmoja wapo kama ungekuwa unajua watu wa kusini mwaka huu walivyokuwa na hasira na magufuli usingeinua makalio kuongea..
Sisi ambayo ni wanakusini tuna Jambo letu October 28
 
Acheni nongwa ,Mamno mengi yamefanyika Kusini mbona wapo viongozi wengi wameshaenda na Mheshimiwa amepita huko siku chache tu kabla ya kuanza kampen
 

Waanzilishi wa baadhi ya nyuzi mtatamani kuzimeza hizo nyuzi baada ya uchaguzi.
 
Naona leo MATAGA wamepata buku 7 zao....
mlipoooza, inaaelekea kule kwenye whatsapp group mmehamasishwa kuja kujibu hoja kwenye wiki ya lala salama.
 
Yani hoja ya kilofa kabisa, iliyosheheni uongo, unafiki, uzandiki na uchonganishi ndani yake. Nani aliyekudanganya CCM imejifuta Mtwara na Lindi? Hivi Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa anatokea Dsm au Kenya? Tuanzie hapa.
 
Nauliza tu. Kuna watu wanasema chama fulani kina sera nzuri na vyama vingine havina sera.

Nauliza katika wapiga kura milioni 29 ni wangapi watapiga kura kwa kuzingatia sera walizozisoma au kuzisikia nakuelewa?

Maana hata misahafu ipo na waumini wapo lakini watu wanaiishi hiyo misahafu?

Huenda sio kila mwenye miaka 18 au zaidi anasifa ya kupiga kura

Wengine huridhika tu kwa kusikia maneno yanayorejelewa mara nyingi kupitia nyimbo , mabango na hotuba.

Wengine ile tu kuona misafara ya magari, marangirangi na ngoma kidogo inatosha kuwavuta.

Ndio maana hata NEC walistuka mgombea mmoja alipotaka kulisha watu kwa ubwabwa.

Ndivyo tulivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…