Furahi sasa na wewe umeanzisha uzi JFKufuatia kushindwa kwa Serikali ya CCM kushikwa na kigugumizi cha kuwaamuru wanunuzi woote wa korosho kutekeleza utaratibu wa kusafirisha korosho msimu huu wa 2020/2021.
Kabla ya kuingia kwa awamu ya tano madarakani, serikali zilizopita zilikuwa na utaratibu wa kuhakikisha kuwa korosho inayozalishwa mkoa wa Mtwara na Lindi zinasafirishwa nje kwa kupitia bandari ya Mtwara.
Hii iliwasaidia wakazi wa Mtwara hasa wachukuzi, kina mama nitilie, wenye ma hotel, Guest house, ma baa, maduka, bodaboda, tax, wenye maghala, wenye majumba kujipatia kipato kutokana na kuwapangisha wanunuzi bidhaa zao.
Leo hii Serikali ya CCM inawaacha wana mtwara na njaaa huku wakiona mazao yao yakipita kwenda bandari ya Dsm.
Wana Mtwara na Lindi hiki ni kipindi chetu kuionyesha CCM kuwa wamechoshea na maonevu ya CCM kwa kuikataa kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
Daaa, mzee!!!,.Nyeto moja tu ingeliepusha Taifa na fedheha kama hii.
..what the hell is this?
..kwanini Tume haikemei mambo haya?
Hahahaha kumbe na nyie huwa hampendi matusi?Mtoa mada kaandika kwa ustaarbu tu, sasa ukikataliwa ndio utukane? Nyie CCM mnapenda kutawala na mitusi
KWA MAENDELEO YA KWELI
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#Magufuli5Tena
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Kati ya wajinga wa jf wewe ni mmoja wapo kama ungekuwa unajua watu wa kusini mwaka huu walivyokuwa na hasira na magufuli usingeinua makalio kuongea..Mnajidanganya Sana, Kwan wabeba mizigo wanafika 500 hapo bandarini? Fuckin shit mtashinda mitandaoni tu kusini kijan
Furahi sasa na wewe umeanzisha uzi JF
Acheni nongwa ,Mamno mengi yamefanyika Kusini mbona wapo viongozi wengi wameshaenda na Mheshimiwa amepita huko siku chache tu kabla ya kuanza kampenKufuatia kushindwa kwa Serikali ya CCM kushikwa na kigugumizi cha kuwaamuru wanunuzi woote wa korosho kutekeleza utaratibu wa kusafirisha korosho msimu huu wa 2020/2021.
Kabla ya kuingia kwa awamu ya tano madarakani, serikali zilizopita zilikuwa na utaratibu wa kuhakikisha kuwa korosho inayozalishwa mkoa wa Mtwara na Lindi zinasafirishwa nje kwa kupitia bandari ya Mtwara.
Hii iliwasaidia wakazi wa Mtwara hasa wachukuzi, kina mama nitilie, wenye ma hotel, Guest house, ma baa, maduka, bodaboda, tax, wenye maghala, wenye majumba kujipatia kipato kutokana na kuwapangisha wanunuzi bidhaa zao.
Leo hii Serikali ya CCM inawaacha wana mtwara na njaaa huku wakiona mazao yao yakipita kwenda bandari ya Dsm.
Wana Mtwara na Lindi hiki ni kipindi chetu kuionyesha CCM kuwa wamechoshea na maonevu ya CCM kwa kuikataa kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
Kwahyo bora mzee wake angenyeto duuuNyeto moja tu ingeliepusha Taifa na fedheha kama hii.
Sijasema mimiUnabeba mambo juu juu kama anti Lees
We pimbi mwambie slavemaster wako akalipe hela za korosho anazodaiwa huko .
Kufuatia kushindwa kwa Serikali ya CCM kushikwa na kigugumizi cha kuwaamuru wanunuzi woote wa korosho kutekeleza utaratibu wa kusafirisha korosho msimu huu wa 2020/2021.
Kabla ya kuingia kwa awamu ya tano madarakani, serikali zilizopita zilikuwa na utaratibu wa kuhakikisha kuwa korosho inayozalishwa mkoa wa Mtwara na Lindi zinasafirishwa nje kwa kupitia bandari ya Mtwara.
Hii iliwasaidia wakazi wa Mtwara hasa wachukuzi, kina mama nitilie, wenye ma hotel, Guest house, ma baa, maduka, bodaboda, tax, wenye maghala, wenye majumba kujipatia kipato kutokana na kuwapangisha wanunuzi bidhaa zao.
Leo hii Serikali ya CCM inawaacha wana mtwara na njaaa huku wakiona mazao yao yakipita kwenda bandari ya Dsm.
Wana Mtwara na Lindi hiki ni kipindi chetu kuionyesha CCM kuwa wamechoshea na maonevu ya CCM kwa kuikataa kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
Kufuatia kushindwa kwa Serikali ya CCM kushikwa na kigugumizi cha kuwaamuru wanunuzi woote wa korosho kutekeleza utaratibu wa kusafirisha korosho msimu huu wa 2020/2021.
Kabla ya kuingia kwa awamu ya tano madarakani, serikali zilizopita zilikuwa na utaratibu wa kuhakikisha kuwa korosho inayozalishwa mkoa wa Mtwara na Lindi zinasafirishwa nje kwa kupitia bandari ya Mtwara.
Hii iliwasaidia wakazi wa Mtwara hasa wachukuzi, kina mama nitilie, wenye ma hotel, Guest house, ma baa, maduka, bodaboda, tax, wenye maghala, wenye majumba kujipatia kipato kutokana na kuwapangisha wanunuzi bidhaa zao.
Leo hii Serikali ya CCM inawaacha wana mtwara na njaaa huku wakiona mazao yao yakipita kwenda bandari ya Dsm.
Wana Mtwara na Lindi hiki ni kipindi chetu kuionyesha CCM kuwa wamechoshea na maonevu ya CCM kwa kuikataa kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
Yani hoja ya kilofa kabisa, iliyosheheni uongo, unafiki, uzandiki na uchonganishi ndani yake. Nani aliyekudanganya CCM imejifuta Mtwara na Lindi? Hivi Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa anatokea Dsm au Kenya? Tuanzie hapa.Kufuatia kushindwa kwa Serikali ya CCM kushikwa na kigugumizi cha kuwaamuru wanunuzi woote wa korosho kutekeleza utaratibu wa kusafirisha korosho msimu huu wa 2020/2021.