Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,407
Na wewe ulifaulu Kiswahili?
Hahaahahaa ujuha umekujaa wewe nilipata F kiswahili lkn siwez andika post kama hivi
Na wewe ulifaulu Kiswahili?
nyinyi vigagula ndo wakupuuzwa tuHii mada ni ya kupuuzwa tu
Wengine sijui mlifauru vipi
Bob justice ni nini?
mkuu tulia then uandike vizuri ,uombe na heading nayo irekebishwe
Wakubwa wote
Hatimaye yale ambayo tumekuwa tunalilia hapa lakini yanazidishwa na wana CCM yameonekana bungeni .Nkamia nadhani na Kessy kama nimekosea mtanisaidia wamelia rafu za Ukabila maeneo yao na mauaji ya wananchi .Kila siku nasema mbegu ya ukabila na Udini ni mbaya .Watu wana furahia sasa muulezeni Nkamia kesha jionea na kalia mwenyewe Bungeni Mbunge mwingine wa CCM amelia sheria mkononi au Mob Justice .Kila siku tunasema haki kwa wanyonge jamani lakini serikali iko kimya sasa baada ya Mabina kukumbana na watu walkio kataa kunyanyaswa eti polisi au Makama ipo .Mbunge anasema Mabina hakustahili kuawa hata kama kaua lakini akaja kusema haki za wanyonge polisi na hata Mahakamani ni ndoto .
Lema kamalizia kwa kuwa na ushahidi wa DVD wa Medeye na mipango ya kibaguzi ya kabila Arusha .Wacha tuone sasa twist hapo .Nadhani CCM wameanza kuona kwamba bastola is nothing kwa haki za watu wanyonye wanapambana nao sasa .Wale waendeleza Udini , Ukanda na ukabila kazi kwenu sasa .CCM wameanza kulia tena Bungeni .
mlifauru au mlifaulu.Wengine sijui mlifauru vipi
Hii mada ni ya kupuuzwa tu
Ujumbe umeshaeleweka................. labda kama wewe ni muumini wa ccm huwezi kuelewa kwakuwa akili za maccm zimedumaa
Wasukuma,Wachaga,Wahaya,wahehe na Wanyakyusa tuungane tupate Rais wetu maana tunabaguliwa
Wasukuma,Wachaga,Wahaya,wahehe na Wanyakyusa tuungane tupate Rais wetu maana tunabaguliwa