Nikupateje
JF-Expert Member
- Dec 22, 2009
- 1,334
- 990
Nimeipenda hii .Huwezi chimba kisimi umkiwa nje mkuu lazima uingie .Now the heat is on
Mods, mko wapi hapo kwenye RED.
Nimeipenda hii .Huwezi chimba kisimi umkiwa nje mkuu lazima uingie .Now the heat is on
Nimeipenda hii .Huwezi chimba kisimi umkiwa nje mkuu lazima uingie .Now the heat is on .
Wakubwa wote
Hatimaye yale ambayo tumekuwa tunalilia hapa lakini yanazidishwa na wana CCM yameonekana bungeni .Nkamia nadhani na Kessy kama nimekosea mtanisaidia wamelia rafu za Ukabila maeneo yao na mauaji ya wananchi .Kila siku nasema mbegu ya ukabila na Udini ni mbaya .Watu wana furahia sasa muulezeni Nkamia kesha jionea na kalia mwenyewe Bungeni Mbunge mwingine wa CCM amelia sheria mkononi au Mob Justice .Kila siku tunasema haki kwa wanyonge jamani lakini serikali iko kimya sasa baada ya Mabina kukumbana na watu walkio kataa kunyanyaswa eti polisi au Makama ipo .Mbunge anasema Mabina hakustahili kuawa hata kama kaua lakini akaja kusema haki za wanyonge polisi na hata Mahakamani ni ndoto .
Lema kamalizia kwa kuwa na ushahidi wa DVD wa Medeye na mipango ya kibaguzi ya kabila Arusha .Wacha tuone sasa twist hapo .Nadhani CCM wameanza kuona kwamba bastola is nothing kwa haki za watu wanyonye wanapambana nao sasa .Wale waendeleza Udini , Ukanda na ukabila kazi kwenu sasa .CCM wameanza kulia tena Bungeni .
Wasukuma,Wachaga,Wahaya,wahehe na Wanyakyusa tuungane tupate Rais wetu maana tunabaguliwa

HAYA SASA TUMEFIKA HUKU ddduuuu UMESAHAU WAKINGA MKUUWasukuma,Wachaga,Wahaya,wahehe na Wanyakyusa tuungane tupate Rais wetu maana tunabaguliwa
non sense
Wakubwa wote
Hatimaye yale ambayo tumekuwa tunalilia hapa lakini yanazidishwa na wana CCM yameonekana bungeni .Nkamia nadhani na Kessy kama nimekosea mtanisaidia wamelia rafu za Ukabila maeneo yao na mauaji ya wananchi .Kila siku nasema mbegu ya ukabila na Udini ni mbaya .Watu wana furahia sasa muulezeni Nkamia kesha jionea na kalia mwenyewe Bungeni Mbunge mwingine wa CCM amelia sheria mkononi au Mob Justice .Kila siku tunasema haki kwa wanyonge jamani lakini serikali iko kimya sasa baada ya Mabina kukumbana na watu walkio kataa kunyanyaswa eti polisi au Makama ipo .Mbunge anasema Mabina hakustahili kuawa hata kama kaua lakini akaja kusema haki za wanyonge polisi na hata Mahakamani ni ndoto .
Lema kamalizia kwa kuwa na ushahidi wa DVD wa Medeye na mipango ya kibaguzi ya kabila Arusha .Wacha tuone sasa twist hapo .Nadhani CCM wameanza kuona kwamba bastola is nothing kwa haki za watu wanyonye wanapambana nao sasa .Wale waendeleza Udini , Ukanda na ukabila kazi kwenu sasa .CCM wameanza kulia tena Bungeni .
Kosa dogo mno hilo ila ukweli uko pale pale .Sasa ukabila unawatokea puani .Bado endeleeni .
Bob justice ni nini?
Mkuu, hapo kwenye Bold sijaelewa kabisa, ndio ulivyotaka ieleweke au?Nimeipenda hii .Huwezi chimba kisimi umkiwa nje mkuu lazima uingie .Now the heat is on .
Hii mada ni ya kupuuzwa tu
Tumekuelewa ila wapo wanaotaka kuharibu mada kama kawaida yao.
Kinachoshangaza ni kuwa kila mbinu chafu wanayoitumia watawala ili kuhalalisha propaganda zao huwa washabiki wa CCM wa pigia chapua kwa nguvu zote,ila ikiwageukia wanakuwa wa kwanza kulalamika kwa nguvu zote.
Kauli ya Pinda "wapigwe maana tumechoka" ilipotolewa na kupingwa na wapenda demokrasia ili tetewa sana humu JF. Pia Mawaziri na wabunge nao hawakuwa nyuma katika kuipaka rangi kauli hiyo hatari.
Jana wananchi wa Kisesa "wamechoka na kuamua kupiga" leo walewale watetezi wa kauli hiyo ndio wanalia Bungeni na mtandaoni eti sio jambo jema "ukichoka kuamua wapigwe tuu" maana yake nini?
Wasukuma,Wachaga,Wahaya,wahehe na Wanyakyusa tuungane tupate Rais wetu maana tunabaguliwa
Wengine sijui mlifauru vipi