Hatimaye CCM wasema athari zile Nkamia na mwenzake leo Bungeni

Hatimaye CCM wasema athari zile Nkamia na mwenzake leo Bungeni

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
8,873
Reaction score
1,926
Wakubwa wote
Hatimaye yale ambayo tumekuwa tunalilia hapa lakini yanazidishwa na wana CCM yameonekana bungeni .Nkamia nadhani na Kessy kama nimekosea mtanisaidia wamelia rafu za Ukabila maeneo yao na mauaji ya wananchi .Kila siku nasema mbegu ya ukabila na Udini ni mbaya .Watu wana furahia sasa muulezeni Nkamia kesha jionea na kalia mwenyewe Bungeni Mbunge mwingine wa CCM amelia sheria mkononi au Mob Justice .Kila siku tunasema haki kwa wanyonge jamani lakini serikali iko kimya sasa baada ya Mabina kukumbana na watu walkio kataa kunyanyaswa eti polisi au Makama ipo .Mbunge anasema Mabina hakustahili kuawa hata kama kaua lakini akaja kusema haki za wanyonge polisi na hata Mahakamani ni ndoto .

Lema kamalizia kwa kuwa na ushahidi wa DVD wa Medeye na mipango ya kibaguzi ya kabila Arusha .Wacha tuone sasa twist hapo .Nadhani CCM wameanza kuona kwamba bastola is nothing kwa haki za watu wanyonye wanapambana nao sasa .Wale waendeleza Udini , Ukanda na ukabila kazi kwenu sasa .CCM wameanza kulia tena Bungeni .
 
Leticia amewaambia ukweli. Fanyieni kazi hayo
 
Wakubwa wote
Hatimaye yale ambayo tumekuwa tunalilia hapa lakini yanazidishwa na wana CCM yameonekana bungeni .Nkamia nadhani na Kessy kama nimekosea mtanisaidia wamelia rafu za Ukabila maeneo yao na mauaji ya wananchi .Kila siku nasema mbegu ya ukabila na Udini ni mbaya .Watu wana furahia sasa muulezeni Nkamia kesha jionea na kalia mwenyewe Bungeni Mbunge mwingine wa CCM amelia sheria mkononi au Bob Justice .Kila siku tunasema haki kwa wanyonge jamani lakini serikali iko kimya sasa baada ya Mabina kukumbana na watu walkio kataa kunyanyaswa eti polisi au Makama ipo .Mbunge anasema Mabina hakustahili kuawa hata kama kaua lakini akaja kusema haki za wanyonge polisi na hata Mahakamani ni ndoto .

Lema kamalizia kwa kuwa na ushahidi wa DVD wa Medeye na mipango ya kibaguzi ya kabila Arusha .Wacha tuone sasa twist hapo .Nadhani CCM wameanza kuona kwamba bastola is nothing kwa haki za watu wanyonye wanapambana nao sasa .Wale waendeleza Udini , Ukanda na ukabila kazi kwenu sasa .CCM wameanza kulia tena Bungeni .

bob justice? Upo vzr kichwani kweli
 
Hii mada ni ya kupuuzwa tu
Unaipuuza kwa sababu gani?
Tumeandika humu kuwa CCM inapandikiza udini na ukabila ili ipate ushindi wa kishindo lakini inashindwa kuamdika madhara yake.
Nimeandika hapa kuwa chuki dhidi ya wachaga/wapare iliyoko Mtwara inahitaki kibiriti kidogo kulipuka na binafsi niliweka waraka hapa kwenda kwa Nape ili asome na wakemee hii tabia lakini wapi.
Kila siku CDM wachaga mara SACCOS lakini ni chama cha siasa kilichoandikishwa kisheria na wakubwa wanashindwa kukemea wabwekaji ambao wako myopic,tutaona matokeo yake karibuni.Mara CUF waislamu, mara hili,watu wanafurahia mgawanyiko kwa ajili ya kura,haya twende!
 
Back
Top Bottom