Hatimaye CCM walitwaa Jimbo la Nassari, John Pallangyo apita bila kupigwa

upinzani wote mnapenda tu matumbo yenu ndio mana mnakazi ya kujiuzuru Oneni sasa wananchi hawa waamini tena mnaogopwa hata mkitetewa leo Kesho mtajiuzuru kilainiiiii...Sasa haya ndio matokeo yake.
 
Kijana mwenye uchungu na HII NCHI ni yule tu nitakaemsikia anasema 2020 SIPOTEZI MUDA WANGU KWENDA KUPIGA KURA YANI kijana wa namna hii wa jibu hilo namuonaga BONGE LA SHUJAAAA...ila vijana wanao amini ktk UPINZANI natamani nikutane na mmoja ni MZABUE MKOFI OLOMIDE akae sawa...maana upstairs anaonyesha hayuko SAWA.
 
Sasa hapo chadema wanatakiwa wakue kwamba hzo mbinu zitashamiri sana 2020. Yaan wagombea wengi wataonekana hawana sifa za kugombea na ccm watapita bila kupingwa. NATABILI.......
 
Sasa hapo chadema wanatakiwa wakue kwamba hzo mbinu zitashamiri sana 2020. Yaan wagombea wengi wataonekana hawana sifa za kugombea na ccm watapita bila kupingwa. NATABILI.......
Kwani huyo nassari nani alimwambia aache ubunge? chadema hovyo kabisa. Yaani chadema mnaacha ubunge halafu mnataka uchaguzi.
 
Mgongobebea anaenda kutumikia mwaka mmoja na kula pensheni kirahisi kabisa!
 
Mashindi kazombea na nani😂😂 tusema kapewa jimbo bila hata kura mmoja wa watu anao waakilisha 😂😂😂 halafu tunashangaa kwanini Africa hatuna maendeleo ni hao viongozi wetu hawajali raia wanajali kupata nguvu zaidi
 
Technical mistakes mwaka 2020 zitakuwa nyingi sana, jambo litakalosababisha wapinzani wengi kupigwa chini na CCM kupita bila ya kupingwa majimbo mengi

Kama kuna wanaofikiri ni nzuri kwa nchi iko siku watajuta watu wanejua ujamaa ulivyoleta umasikini na kuharibu akili za watu wangekimbia mbali
 
Haya ni maandalizi tu, 2020 utasikia Magufuli amepita bila kupingwa baada ya wagombea wote wa upinzani kukosa sifa.
Mbona hiyo iko wazi!!!!!! Pia wagombea wa upinzani majimbo ya Mbeya mjini na Arusha mjini watakosa sifa hivyo chama tawala kupita bila kupingwa!!!
 
Time ya kwetu. Hatuna haja ya kushangilia. Nasari kapoteza ubunge kizembe sana lakini
Siyo siri, Nasari amekera sana!!!!! Haiwezekani ukaacha kuhudhuria vikao vyote hivyo vya bunge na bado ukajiona ni mwakilishi wa jimbo lako. Iwekwe sheria ya mbunge kuomba kibali cha wapiga kura wake kama ana udhuru wa kutokuhudhuria bunge!!!!
 
Back
Top Bottom