Hatimaye Boss kaoa

Good morning to the sexiest woman in the whole wide World😘
 
😂😂😂😂 Akikujibu nitagg
 
Hivi kumbe ule Uzi wako ilikuwa taarifa ya kweli? Nilidhani ilikuwa ni changamsha kijiwe kama tulivyokuwa tumezoea humu 😜

Anyways, Sisi Wanaume tunaweza kudate na Wanawake hata 3 ama 100 lakini tukachagua mmoja wa kuweza kukaa naye kutokana na element Fulani Fulani ambazo tunakuwa tumeziona kwa huyo binti.

Na huna sababu ya kujilaumu eti kupoteza muda wa kuwa pamoja naye, muhimu ni kuwa you had good time.

Anza kujifunza huyo Mwanamke mbaya aliyeolewa naye kama ulivyosema hapa ana nini cha ziada kuhusu tabia n.k ili nawe uweze kujifunza na ujirekebishe hatimaye upate Mume wako pia.

Usihangaike kuchagua sana, hata akija mzabzab kukutolea mahari mpokee hivyo hivyo muanze maisha ya kubebishana na valentine hii 😜🤗
 
Why uko so bitter?. Mungu sio Athuman, huwa kuna maombi huyatupilia mbali. Wish them blessings, never curse. Wakwako yupo, just hold the line.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…