Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 890
- 2,203
Pole tuliza kikojoleo ikoi nenda ktk uzi wa wasimbe 30+
😂😂😂😂uyo mwanamke mwenyewe mtu mzima kakomaa Ana mikono minene ata sijui why did he choose her over me
Wabaya ndo tunaolewa cute
Sema haya mambo mda mwngn.... unaweza date na wadada wazuri wenye figure kali na wapo vzr kichwani ila ipo siku unatulizwa na mdada wa kawaida sana
Huo ndo ujasiri sasa, na ndoa yaweza kuwa mbingu au jehanamu momSawa kwani kuolewa Ndio ticket ya kuingia mbinguni eh
Wala sio kuoa kama fashion, unajikuta tu una amani nae unaridhika huna wasi wasiSi mnakua mshajuchokea kwa kukitonbesha kila sehemu mnaamua kuambulia tu popote tu ilimradi uonekane umeoa kama fashion
Mmechezeana hakukuchezea. Kwani kipindi mnanjunjana wewe ulikuwa unalala kama gogo tu...
kukuchezea ?!Hatimae boss wangu kaoa, nilitaka nihudhurie ila kwa kua nampenda sikutaka kumuudhi maana ningefanya kitu cha kushangaza...
PoleHatimae boss wangu kaoa, nilitaka nihudhurie ila kwa kua nampenda sikutaka kumuudhi maana ningefanya kitu cha kushangaza, uyo mwanamke mwenyewe ata sijui why did he choose her over me anyways kuoa Au kuolewa sio Ndio kumaliza kila kitu changamoto na matatizo yapo hadi ndani ya ndoa.
Ofisi naiona chungu kila mtu ananiangalia utasema sijui nipo uchi najikaza tu kwasababu mwisho wa mwezi my salary inakua banked. Ila karma is a bitch na itamrudia tu kwa kunipotezea muda wangu na kunichezea
Jitathmini na ubadilike Kuna mahali una shida kubwa ,,
Na Kama utaendelea kuwa hvyo bila kubadilika ,
Utafikisha miaka 50+ hujaolewa na umechezewa na kuachwa tu