mistari4G
JF-Expert Member
- Feb 10, 2019
- 553
- 649
Tumekataza kuongea na vyombo vya njenashangaa mfilipino ahojiwi nae tumsikie anasemaje?
Au huelewi ule konzi?
Tumekataza kuongea na vyombo vya njenashangaa mfilipino ahojiwi nae tumsikie anasemaje?
Kuna mda kinyo alipigwa kama 15 akiwa kwenye kambaNgumi za tumbo haihesabiki
Yaani wamejitahidi kuandaa kila kitu hawakuandaa gloves wakati wa maandalizi ya game,imetia doa kidogo,kumbe ndiyo maana upande wa Mwakinyo walikuwa wengi sana ila wamalize ulozi waoLivee hapa kutoka uwanja wa taifa mabondia hassan mwakinyo na arnel tinampay wanavuliwa gloves zao zenye rangi nyeupe nakuvishwa zenye rangi ya bendera ya taifa la yeye mbarikiwa mtukufu alietukuka jiwe kweli kweli na huku bondia hassan mwakinyo akionekana kuwekewa dawa katika gloves zake...namshukuru yeye alie juu jiwe mwamba kwelikweli kwa kuruhusu ulozi utumike hadharani na sasa nasema mwakinyo apigwe
Huu mchezo umechezwa hadharani siyo chumbani,kila mtu ameona,Mwakinyo mwenyewe hana furaha na ushindi wake utakuwa wewe?
Hapo ndio wengi hawajui mkuu wao wanadhani ngumi za tumbo na, zilizopanguliwa zina point. Ila kuna Bondia anaitwa kiduku kutok Moro aisee huyu atakuja kuwa bondia hatari sana kama atapata usimamizi mzuri, maana ni mwepesi na anapiga ngumi kama mvua.Mfilipino Kapigwa Ngumi Nyingi Usoni Na Ndo Zenye Pointi Arifu.
Kashinda kwa points .....Ameshinda kiana aina.......muda wote anakimbia kimbia tu
Nakumbuka vizuri lile pambano lake na muagentina lililopigiwa Kenya, nami niliona kama jamaa hana kasi sana, ila ninaamini kwa umri wake, ana mengi ya kujifunza na huenda akawa bora sana huko mbeleni, tumpe muda na sapoti yetu atafika tu.Tutabishana tu, ila kifupi mwakinyo amepigwa hili ni dhahiri shahiri! Mtz mwenzetu ana mapungufu mengi, ana mikono mizito mnoo, kuna baadhi ya ngumi mtu akijaa haipigwi moja, yeye anadokoa na kukimbia, nadhani nyumbani kumembeba.
Hiki kitu nilisema siku alipopigana na yule muargentina, mwakinyo anatakiwa ajirekebishe.
Mfilipino hajaja kutafuta ushindi amekuja kusaidia ku promote ngumi tz. Hamjaelewa wapi lakini banduguBinafsi nimeshuhudia pambano tangu mwanzo mpaka mwisho. Mwakinyo amezidiwa pointi na Mfilipino. Mwakinyo kupewa ushindi siyo kweli Mfilipino alimzidi karibu kila raundi. Tuwe na haki pambano hili Mwakinyo ameshindwa kwa pointi ingawaje amejitahidi sana.
Bora game ya Dulla Kiduku vs Msouth
Inawezekana we ni mtaalamu zaidi,hizi points wewe unaona majaji walikuwa sawa kabisa?Kashinda kwa points .....
mfiluoino kapigwa ngumi nyingi za kicha nenda yutube hesabu.....
lete majibu
Yeah Mfaume Mfaume vs Kiasi Ally pia ni wanaumeDula mkali sana pia hata wale mabondia wawili nao wakali sana