Kama uvaaji wa nguo zenye rangi ya bendera ya Taifa ndio uzalendo, basi Mwigulu ndie mzalendo wa kwanza Tanzania

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,052
12,906
Kuna hii tendensi imeibuka miaka ya hivi karibuni hasa kipindi hiki cha uzalendo wa kweli, watu wanaojiita na kujitanabaisha kua ni wazalendo kuvaa nembo au scaff zenye rangi ya bendera ya taifa.

Kama kuvaa minguo yenye rangi ya bendera ya Taifa ndio uzalendo, basi Dr. Mwigulu Nchemba ndio mzalendo namba moja katika taifa hili.

Mwigulu alishajitanabaisha miaka mingi kua yeye ndio mzalendo wa kweli, maana miaka nenda rudi yeye anavaa nguo zenye rangi ya bendera ya Taifa.

Naomba kukupongeza mzalendo wa kweli Dr. Mwigulu maana wewe ulianza kabla ya huu unafiki na ulianza mwenyeww tu bila kushinikizwa na mtu.

Hawa wengine wote walioibuka zama hizi za uzalendo ni wanafiki wakubwa.
 
Uzalendo tulikuwa nao wakati ule JK amechukua nchi na Taifa Stars inafanya vizuri chini ya maximo. Huu uzalendo wa awamu hii ni maigizo tu ya kuganga njaa.
 
Back
Top Bottom