Hatimaye bondia kutoka Ufilipino avalishwa gloves zenye rangi ya bendera ya Tanzania ya jiwe Tanzania ya viwanda

Kwenye ngumi. Za kichwa ndo zahesabika. Za tumbo hazihesabiki na mikononi. Wanapiga tumbo ili uachie kichwa
 
Livee hapa kutoka uwanja wa taifa mabondia hassan mwakinyo na arnel tinampay wanavuliwa gloves zao zenye rangi nyeupe nakuvishwa zenye rangi ya bendera ya taifa la yeye mbarikiwa mtukufu alietukuka jiwe kweli kweli na huku bondia hassan mwakinyo akionekana kuwekewa dawa katika gloves zake...namshukuru yeye alie juu jiwe mwamba kwelikweli kwa kuruhusu ulozi utumike hadharani na sasa nasema mwakinyo apigwe
Yaani wamejitahidi kuandaa kila kitu hawakuandaa gloves wakati wa maandalizi ya game,imetia doa kidogo,kumbe ndiyo maana upande wa Mwakinyo walikuwa wengi sana ila wamalize ulozi wao
 
Dah. Yani natamani nikutukne tuthi ambalo hukuwahikulihisi. Ila basi baki nab upuuzi wako
 
Waandishi wa Azam wanoko Sana. Wamenikera na mikamera yao kusabibasha ulozi udhalilike hadharani
 
Mfilipino Kapigwa Ngumi Nyingi Usoni Na Ndo Zenye Pointi Arifu.
Hapo ndio wengi hawajui mkuu wao wanadhani ngumi za tumbo na, zilizopanguliwa zina point. Ila kuna Bondia anaitwa kiduku kutok Moro aisee huyu atakuja kuwa bondia hatari sana kama atapata usimamizi mzuri, maana ni mwepesi na anapiga ngumi kama mvua.
 
Tutabishana tu, ila kifupi mwakinyo amepigwa hili ni dhahiri shahiri! Mtz mwenzetu ana mapungufu mengi, ana mikono mizito mnoo, kuna baadhi ya ngumi mtu akijaa haipigwi moja, yeye anadokoa na kukimbia, nadhani nyumbani kumembeba.

Hiki kitu nilisema siku alipopigana na yule muargentina, mwakinyo anatakiwa ajirekebishe.
Nakumbuka vizuri lile pambano lake na muagentina lililopigiwa Kenya, nami niliona kama jamaa hana kasi sana, ila ninaamini kwa umri wake, ana mengi ya kujifunza na huenda akawa bora sana huko mbeleni, tumpe muda na sapoti yetu atafika tu.
 
Binafsi nimeshuhudia pambano tangu mwanzo mpaka mwisho. Mwakinyo amezidiwa pointi na Mfilipino. Mwakinyo kupewa ushindi siyo kweli Mfilipino alimzidi karibu kila raundi. Tuwe na haki pambano hili Mwakinyo ameshindwa kwa pointi ingawaje amejitahidi sana.
Mfilipino hajaja kutafuta ushindi amekuja kusaidia ku promote ngumi tz. Hamjaelewa wapi lakini bandugu
 
Kashinda kwa points .....
mfiluoino kapigwa ngumi nyingi za kicha nenda yutube hesabu.....
lete majibu
Inawezekana we ni mtaalamu zaidi,hizi points wewe unaona majaji walikuwa sawa kabisa?
Aliyetoa 96/96 pekee ndiye msema kweli,hao wengine wamefanya kizalendo zaidi,angeshinda kwa points 2 au 3 sawa ila hapo ni uongo wa wazi hata kama wewe ni lecturer wa chuo cha boxing

Jaji wa kwanza amtoa 97-93 , Jaji wa pili akatoa 98-92 na Jaji wa tatu akatoa 96-96.
 
Sio utani, tuache upendeleo. Na sometimes uzalendo weka pembeni, MFILIPINO KASHINDA...!!! Ule ushindi umepikwa laivu yan...!!!
 
Back
Top Bottom