hatimaye bodi ya mikopo yatoa majina .

kikwakwa

Senior Member
Dec 20, 2011
105
12
kwa wale waliotazama taarifa ya habari star tv leo saa mbili usiku bodi wameeachia majina hayo,lakini ukiingia kwenye website yao bado hawajayaweka hivyo tusichoke kutembelea huko natumaini hadi kufikia kesho mchana watakuwa wameshaweka.
 
unamaanisha hizo post nyingine hujaziona au?
 
Ndio raha ya kuwa na washiriki wa umri tofautitofauti humu JF.
 
Hahahaha... Dogo umetisha kwa kwenda kuchimbua thread za miaka iliyopita na kuzirudisha kwenye mjadala, wadau msidanganyike na hizi post za zamani
krama uko juu wewe ni mwinyi mpeku mpekuzi, mwambie jamaa aache sunege
 
Back
Top Bottom