Hatimaye Bishanga!

Hatimaye Bishanga!

kwa kwaaa kwaaaa kwaaaaa jamani sasa nimegundua na kufahamu nilikuwa sijui mie kumbe mbegu za msimu ujao?
hivi kweli mmekua leo kama alivyosema Baba V
ukikua kidogo utajua maana ya kutunza mbegu kwa ajili ya
msimu ujao.
 
Lady doctor, mambo vipi lakini
ndoa yako mpya inakwendaje.

safi tu Mamndenyi
ndoa yangu inaenda vizuri sana, japokuwa ninasumbuliwa na kichefuchefu, joto kuongezeka mwilini, kuumwa kichwa, nachokachoka, chuchu zimekuwa black halafu unalimao hapo au embe bichi maana nasikia ugwaduugwadu lol!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
kapima kwanza taifod
ha ha haaaa
safi tu Mamndenyi
ndoa yangu inaenda vizuri sana, japokuwa ninasumbuliwa na kichefuchefu, joto kuongezeka mwilini, kuumwa kichwa, nachokachoka, chuchu zimekuwa black halafu unalimao hapo au embe bichi maana nasikia ugwaduugwadu lol!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom