Hatimaye @Bishanga afulia live live!


hahahaaa!! Bishanga bundle atoe wapi
wakati kula na kulala tunamhifadhi
mimi na huby wangu Ruttashobolwa?
kahamia kwetu siku hizi,ndugu yake
anamtafutia kibarua!!ila na wewe unafukunyua
habari za watu mwenyekiti duuuuh!!

 
Last edited by a moderator:
hahaha cousin we mtratra yaani imebaki kiduchu wafanane lol!!!!

Huyo ni kaka yangu, ila kwakuwa nakuheshimu bora tu nisema. kuwa makini na huyo kaka yangau ni mtata sana. muheshimu Arushaone
 
Last edited by a moderator:

hahahaaa!! Bishanga bundle atoe wapi
wakati kula na kulala tunamhifadhi
mimi na huby wangu Ruttashobolwa?
kahamia kwetu siku hizi,ndugu yake
anamtafutia kibarua!!ila na wewe unafukunyua
habari za watu mwenyekiti duuuuh!!


Hapo kwenu mnahifadhi ya watu wa aina hiyo? kuna jamaa hapa kitaa ana tabu kama hiyo? shemeji hajambo lakini
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…