Nawewe uzae sasa cheki,mwezio The secretary anataka kukupiku
Hapanaaaaaaaaaa
Sikutafuti sheem
mke mwenza kimya chako hakina hata mshindo mwaka wa5 sasa hata mate hutemi
Kumbe shida yako nteme mate...eboo
Utuachee eee
Yaani kafulia hadi huruma, hana hata ndala za bata. Mkewe the secretary anakufa njaa hapa mjini.
Hahahaaa Mr Rocky kwani una ugomvi na Bishanga ?Erickb52 ameenda huko bana sasa kapewa kula panya na kutamka nchale ikamshinda so wakamuona sio mwenzao sasa sijui kama kibarua atapata au ataishia kwenda kuvuna korosho
Rwandees
wanyarwanda .
Tena asituzoeeeeeeeeeeKumbe shida yako nteme mate...eboo
Utuachee eee
Tena asituzoeeeeeeeeee
Atutueeeeeeeeeeeeeeeeeee
Au nayeye kama ananitaka si aseme nimpe utamu ili asituzoee eboooo!
BTW Nakumiss mpenzi wangu halafu sijui Tanesco wanatugombanisha au la
Erickb52 rekebisha kauli aliwahi na sio alifanya hivyo
Wala simnangi tatizo alikuwa anajitapa sana kuwa yeye ni bepari la kihaya na hafilisiki na hatoishiwa sasa sijui kiko wapi The secretary karibu Archuga uje upate mtori na nyama choma