Nchi hii ni kama haina viongozi mkuu, maana kila siku hatukosi kushangaa, bado bajaji za kubebea kina mama wajawazito. Si mchezo tunaelekea kwenye ujima kwa kasi. Kwa nini barabara ziwe nyembamba kama nyumba zimejengwa kwa kufuata utaratibu. Hii inaonyesha serikali haina mpango wa kuzuia ujenzi wa makazi bila mpangilio.Mungu wangu nisaidie Nchi hii ina viongozi au Wendawimu? Tunaelekea wapi sasa? huu siutani
Huu ni mbadala wa gari la zimamoto hasa uswazi ambako hakuna njia. Swali ni je hii bajaji inabeba maji kiasi gani?
Serikali ya Kikwete kiboko, haya sio masihara kweli??.