Hivi ni nyie ndugu zetu wenye ID ishirini ishirini au wale wenye zile pendwa za msimu? Au ni wale wa Ngamiani waja leo waondoka leo? Au wale waja wenye zile ID pendwa zinazo staafu staafu kila ikiwapendeza?
Wako wapi kina Lisaboni, bia yenu, yumbe brown, au wale waliopotea ghafla?
Au tuseme wali-retire, kupotezwa au kutangulia au kutangulizwa mbele za haki?
"Nafanya kazi kwa DPP dawati la Doria mtandaoni. Na huwa napeleleza makosa yanayofanywa mitandaoni."
Looh!
Kwamba mnapiga jaramba mitandaoni? Au ndiyo wale kutwa mkiwaomba watu ili mpate ku wa PM?
Vipi wale kutwa mkitokea kama mademu kumbe chini mkiwa mmening'iniza mikuyenge?
Vipi wale kutwa mkibubujikwa machozi ya mamba?
Au vipi ninyi ndugu wakata switch kutokea Kitunda pale?
Au ninyi ni wale mliojipa au kupewa yale majina pendwa ya wale wadudu wachafu?
Kwamba tusiseme yetu ya moyoni? Kumbe twende "dare" semea wapi?
Kama ndivyo, zile kazi almaarufu za Lema na bodaboda, hazitakuwa hizo?