Hatimaye amekamatwa

Hatimaye amekamatwa

Weka picha kabla hatujampeleka Panya mwingine kutafuna noti zetu.
 
Hahahaha umenikumbusha panya walivyokula visent vyangu nilivyovihifadhi kwenye "kitunga" .
 
Ivi nyumba inakuaje na panya na mende kwa mfano?!
Hahaha mimi mwenyewe huwa najiuliza nyumba hata kama itakuwa safi namna gani lakini panya lazima wawepo kama huna paka, cha kushangaa tunabiwa kuna panya wa ndani na wa nje.
 
Back
Top Bottom