Hatimaye aliyemchinja yule kada wa CHADEMA Arumeru akamatwa!

Hatimaye aliyemchinja yule kada wa CHADEMA Arumeru akamatwa!

Status
Not open for further replies.

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,819
Reaction score
1,458
MTUHUMIWA HUYO ALMAARUFU KWA JINA LA (CHEWAJA)ALIKUWA NI MPANGAJI KATIKA NYUMBA YA MAREHEMUNI (waliishiwote myumba moja) NI MZALIWA WA SINGIDA,MKAZI WA ARUMERU MASHARIKI,AMEKAMATWA DODOMA AKIWA KWA MGANGA WA KIENYEJI,AWATAJA ALIOSHIRIKIANA NAO KATIKA MAUAJI HAYO MMOJA WAPO NI KADA WA CCM NA PIA NI MWANYEKITI WA KIJIJI,VILIO VILITAWALA BAADA YA MTUHUMIWA HUYO KURUDISHWA KIJIJINI CHINI YA ULINZI MKALI WA JESHI LA POLISI KUONYESHA OLIKOFICHA VIFAA VYA MAUAJI WANANCHI WAPANDWA NA HASIRA WATAKA KUMUUA ASKARI WAZUIA,SILAHA ZAKUTWA SHAMBANI KWA MWENYEKITI ZIKIWA ZIMEFUKIWA CHINI AMBAPO BAADA YA KUFUKUA WALIKUTA BUNDUKI MBILI,KISU PANGA,NA MASHINE YA KUKATIA MITI ILIYO TUMIKA KUMCHINJIA MAREHEMU ALIFANYA MAUAJI HAYO KWA UJIRA WA SHILINGI ZA KITANZANIA MILIONI MBILI(SH.2.000,000/=)YASEMEKANA HATA UKO SINGIDA ALIKIMBIA KESI YA MAUAJI.

source:MIMI MWENYEWE LIVE KUTOKA KATIKA TUKIO.
 
MTUHUMIWA HUYO ALMAARUFU KWA JINA LA (CHEWAJA)ALIKUWA NI MPANGAJI KATIKA NYUMBA YA MAREHEMUNI (waliishiwote myumba moja) NI MZALIWA WA SINGIDA,MKAZI WA ARUMERU MASHARIKI,AMEKAMATWA DODOMA AKIWA KWA MGANGA WA KIENYEJI,AWATAJA ALIOSHIRIKIANA NAO KATIKA MAUAJI HAYO MMOJA WAPO NI KADA WA CCM NA PIA NI MWANYEKITI WA KIJIJI,VILIO VILITAWALA BAADA YA MTUHUMIWA HUYO KURUDISHWA KIJIJINI CHINI YA ULINZI MKALI WA JESHI LA POLISI KUONYESHA OLIKOFICHA VIFAA VYA MAUAJI WANANCHI WAPANDWA NA HASIRA WATAKA KUMUUA ASKARI WAZUIA,SILAHA ZAKUTWA SHAMBANI KWA MWENYEKITI ZIKIWA ZIMEFUKIWA CHINI AMBAPO BAADA YA KUFUKUA WALIKUTA BUNDUKI MBILI,KISU PANGA,NA MASHINE YA KUKATIA MITI ILIYO TUMIKA KUMCHINJIA MAREHEMU YASEMEKANANA HATA UKO SINGIDA ALIKIMBIA KESI YA MAUAJI.


Inasikitisha sana sasa tunaanza kuamini kuwa watakaoleta machafuko Tanzania ni CCM hapa akuna ubishi kabisa kwani tumeona wenyewe na tunaendelea kuona kama mwenyekiti alishiriki hii ni kwamba CCM imeshiriki kwa namna moja katika mauaji haya jamani tunaipeleka wapi nchi yetu.
 
Haihusiani na siasa, alikuwa mpangaji wake.
 
Dah! Mmeniliza tena kwa mara nyingine. Damu ya marehemu itakumbukwa milele. Kwakuwa imeshaanza kuthibitika ameuwawa kwaajili ya siasa CDM embu ifikirieni familia yake tena, ili na wengine wapate moyo wa uzalendo
 
kwa hali hii itanzania inakuwa kama somalia aibu kwao, poleni sana ndugu wafiwa acha sheria ichukue mkondo wake. pongezi kwa jeshi la polisi kufanikiwa kumkamata muuaji
 
Nikisema watu kama hawa wanyongwe napigwaga bun leo nasema waachiwe huru ili mod ufurahie!
 
MTUHUMIWA HUYO ALMAARUFU KWA JINA LA (CHEWAJA)ALIKUWA NI MPANGAJI KATIKA NYUMBA YA MAREHEMUNI (waliishiwote myumba moja) NI MZALIWA WA SINGIDA,MKAZI WA ARUMERU MASHARIKI,AMEKAMATWA DODOMA AKIWA KWA MGANGA WA KIENYEJI,AWATAJA ALIOSHIRIKIANA NAO KATIKA MAUAJI HAYO MMOJA WAPO NI KADA WA CCM NA PIA NI MWANYEKITI WA KIJIJI,VILIO VILITAWALA BAADA YA MTUHUMIWA HUYO KURUDISHWA KIJIJINI CHINI YA ULINZI MKALI WA JESHI LA POLISI KUONYESHA OLIKOFICHA VIFAA VYA MAUAJI WANANCHI WAPANDWA NA HASIRA WATAKA KUMUUA ASKARI WAZUIA,SILAHA ZAKUTWA SHAMBANI KWA MWENYEKITI ZIKIWA ZIMEFUKIWA CHINI AMBAPO BAADA YA KUFUKUA WALIKUTA BUNDUKI MBILI,KISU PANGA,NA MASHINE YA KUKATIA MITI ILIYO TUMIKA KUMCHINJIA MAREHEMU YASEMEKANANA HATA UKO SINGIDA ALIKIMBIA KESI YA MAUAJI.

Hapa jeshi la polisi limefanya kazi yake iliyoainishwa kwenye Katiba ya Nchi.Nitafurahi zaidi wakifuatilia wale waliowanyonga wale vijana wanne.Wakipatikana wauaji hao tutazuia mauji ya kipuuzi kwenye jamii yetu na kuongeza confidence na uchumi wetu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom