Siwezi kuweka majina yote jamvini kulingana na kifaa ninachotumia. Vinginevyo tuma private message taja jina lako, likiwepo ntakujulisha ingawa naweza chelewa kukujulisha coz kuna nalitumikia taifa kwa sasa.
Naomba unchekie emmanuel linus na brighton maona
Ndugu naomba niangalizie Tumaini Mbogoni.
mkuu naomba uniangalizie bernard jonas
msaada jaman,niangalizie bernard jonas
Hii uliyoandika hapa ni lugha gani.....mi nimeona hata kichefuchefu kusoma
naombeni wadau mnitafutie jina hili"haruna mussa"
Naombeni link ya majina.natafuta jina language km lipo
Wakaguz tayal nao
Tetesi, eti inasemekana wakaguzi wasaidizi watapewa vipaumbele waliopitia JKT, JE kuna mwenye nyepesi kama hizi?
Wakaguz tayal nao
Umezipata wapi hizo?
Mdau tu wa kitaa, anadai kuna mkubwa kamtonya, dah Tanzania yangu unaelekea wap?
Sidhani asee,