Kurzweil JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 6,623 Reaction score 8,426 Jul 17, 2012 #1 Sabodo achangia harusi ya Mh Rais wa Tz 2015, fedha halali za kitanzania shilingi milioni 60. Mambo yameanza pamba moto. Source mtu wa karibu na Mh.
Sabodo achangia harusi ya Mh Rais wa Tz 2015, fedha halali za kitanzania shilingi milioni 60. Mambo yameanza pamba moto. Source mtu wa karibu na Mh.
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,358 Jul 17, 2012 #2 Rose Kamili atakuwa Rose Nusu na wale wote wanaomtumia kama ni kweli.
B Bobuk JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 5,870 Reaction score 3,275 Jul 17, 2012 #3 Shillingi Million 60? Zote hizo za HARUSI wakati Watanzania hatuna VISIMA VYA MAJI?
S sithole JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 306 Reaction score 116 Jul 17, 2012 #4 Bobuk said: Shillingi Million 60? Zote hizo za HARUSI wakati Watanzania hatuna VISIMA VYA MAJI? Click to expand... Mkuu ushachangia harusi ngapi na visima vingapi vya maji tangu uzaliwe?
Bobuk said: Shillingi Million 60? Zote hizo za HARUSI wakati Watanzania hatuna VISIMA VYA MAJI? Click to expand... Mkuu ushachangia harusi ngapi na visima vingapi vya maji tangu uzaliwe?
T tara Senior Member Joined Jun 5, 2012 Posts 189 Reaction score 61 Jul 17, 2012 #5 Bobuk said: Shillingi Million 60? Zote hizo za HARUSI wakati Watanzania hatuna VISIMA VYA MAJI? Click to expand... hilo swali muulize Maghembe na chama chake.............
Bobuk said: Shillingi Million 60? Zote hizo za HARUSI wakati Watanzania hatuna VISIMA VYA MAJI? Click to expand... hilo swali muulize Maghembe na chama chake.............
Zipuwawa JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 3,050 Reaction score 656 Jul 17, 2012 #6 Bobuk said: Shillingi Million 60? Zote hizo za HARUSI wakati Watanzania hatuna VISIMA VYA MAJI? Click to expand... mbona amechangia visima vingi tu jiulize wewe umewahi kuchangia nini?
Bobuk said: Shillingi Million 60? Zote hizo za HARUSI wakati Watanzania hatuna VISIMA VYA MAJI? Click to expand... mbona amechangia visima vingi tu jiulize wewe umewahi kuchangia nini?
S SURA SIO SOHO Member Joined May 18, 2011 Posts 43 Reaction score 10 Jul 17, 2012 #7 bobuk said: shillingi million 60? Zote hizo za harusi wakati watanzania hatuna visima vya maji? Click to expand... ndoa ya rais wa tano wa jamhuri kaka. Wewe unataka iwe ya kimanzese. Tunakula heinkein tu. Tbl hawez supply kitu, tunaagiza kwa mzee mabibo.
bobuk said: shillingi million 60? Zote hizo za harusi wakati watanzania hatuna visima vya maji? Click to expand... ndoa ya rais wa tano wa jamhuri kaka. Wewe unataka iwe ya kimanzese. Tunakula heinkein tu. Tbl hawez supply kitu, tunaagiza kwa mzee mabibo.
mndwadage JF-Expert Member Joined Jul 15, 2012 Posts 344 Reaction score 67 Jul 17, 2012 #8 duuh.! Nimekumbuka ya Simba na Kilango Malecela.!!
mhalisi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 1,181 Reaction score 322 Jul 17, 2012 #9 kama hili jambo ni la kweli basi mzee Sabodo anazidi kuonyesha anamkubali sana Dk.Slaa
B Bob G JF-Expert Member Joined Oct 5, 2011 Posts 2,351 Reaction score 450 Jul 17, 2012 #10 Duh! hapo wazee parefu,
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,202 Reaction score 8,781 Jul 17, 2012 #11 Hivi JK akialikwa si atakwenda...na kwa bahati nzuri kwa sherehe na kiduku mkuu hajambo! View attachment 59058
Hivi JK akialikwa si atakwenda...na kwa bahati nzuri kwa sherehe na kiduku mkuu hajambo! View attachment 59058
rmashauri JF-Expert Member Joined Jan 29, 2009 Posts 3,011 Reaction score 462 Jul 17, 2012 #12 Bobuk said: Shillingi Million 60? Zote hizo za HARUSI wakati Watanzania hatuna VISIMA VYA MAJI? Click to expand... Mkuu kwani Sabodo ni serikali? Kawaulize serikali ya CCM kwanini hatuna visima vya maji.
Bobuk said: Shillingi Million 60? Zote hizo za HARUSI wakati Watanzania hatuna VISIMA VYA MAJI? Click to expand... Mkuu kwani Sabodo ni serikali? Kawaulize serikali ya CCM kwanini hatuna visima vya maji.
Wingu JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,318 Reaction score 408 Jul 17, 2012 #13 Ngoja tuone uzalendo wa huyu mzee 60m slaa piga pande hizo pesa peleka kwengine
Mkirua JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 5,647 Reaction score 2,512 Jul 17, 2012 #14 Bobuk said: Shillingi Million 60? Zote hizo za HARUSI wakati Watanzania hatuna VISIMA VYA MAJI? Click to expand... Kwani yeye DAWASCO??
Bobuk said: Shillingi Million 60? Zote hizo za HARUSI wakati Watanzania hatuna VISIMA VYA MAJI? Click to expand... Kwani yeye DAWASCO??
MARKYAO JF-Expert Member Joined Mar 30, 2012 Posts 673 Reaction score 681 Jul 17, 2012 #15 naomba kuuliza wanagreat thinkers, hii HARUS ya DR itafungwa au pingamizi lililowekwa na Rose litakuwa limeikwamisha?
naomba kuuliza wanagreat thinkers, hii HARUS ya DR itafungwa au pingamizi lililowekwa na Rose litakuwa limeikwamisha?
Arvin sloane JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 996 Reaction score 204 Jul 17, 2012 #16 Ipycalypse said: Sabodo achangia harusi ya Mh Rais wa Tz 2015, fedha halali za kitanzania shilingi milioni 60. Mambo yameanza pamba moto. Source mtu wa karibu na Mh. Click to expand... Kumbe uchaguzi wa 2015 ni tayari eeeeh basi tunamtakia harusi njema dr na mchumba wake josephine na rose kamili sukum naye aalikwe.
Ipycalypse said: Sabodo achangia harusi ya Mh Rais wa Tz 2015, fedha halali za kitanzania shilingi milioni 60. Mambo yameanza pamba moto. Source mtu wa karibu na Mh. Click to expand... Kumbe uchaguzi wa 2015 ni tayari eeeeh basi tunamtakia harusi njema dr na mchumba wake josephine na rose kamili sukum naye aalikwe.
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,997 Jul 17, 2012 #17 hatimaye! wenye wivu wajinyonge. . .
M Makamuzi JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 1,155 Reaction score 263 Jul 17, 2012 #18 Bobuk said: Shillingi Million 60? Zote hizo za HARUSI wakati Watanzania hatuna VISIMA VYA MAJI? Click to expand... We umechangia nini kuwasaidia wananchi zaidi ya majungu?
Bobuk said: Shillingi Million 60? Zote hizo za HARUSI wakati Watanzania hatuna VISIMA VYA MAJI? Click to expand... We umechangia nini kuwasaidia wananchi zaidi ya majungu?
Ston Merchant JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 393 Reaction score 103 Jul 17, 2012 #19 SURA SIO SOHO said: ndoa ya rais wa tano wa jamhuri kaka. Wewe unataka iwe ya kimanzese. Tunakula heinkein tu. Tbl hawez supply kitu, tunaagiza kwa mzee mabibo. Click to expand... Muambie huyo maana hta hvy visima Sabodo anaendelea kuchimba mpk dakika hii........ cjui kinacho mkuna huyo jamaa ni nn wkt ni harusi ya rais mtarajiwa........
SURA SIO SOHO said: ndoa ya rais wa tano wa jamhuri kaka. Wewe unataka iwe ya kimanzese. Tunakula heinkein tu. Tbl hawez supply kitu, tunaagiza kwa mzee mabibo. Click to expand... Muambie huyo maana hta hvy visima Sabodo anaendelea kuchimba mpk dakika hii........ cjui kinacho mkuna huyo jamaa ni nn wkt ni harusi ya rais mtarajiwa........
Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,312 Jul 17, 2012 #20 Bobuk said: Shillingi Million 60? Zote hizo za HARUSI wakati Watanzania hatuna VISIMA VYA MAJI? Click to expand... nchemba kwa kutukana wabunge wa chadema alitunzwa ngapi ili hali hapo dodoma shule hazina madawati?
Bobuk said: Shillingi Million 60? Zote hizo za HARUSI wakati Watanzania hatuna VISIMA VYA MAJI? Click to expand... nchemba kwa kutukana wabunge wa chadema alitunzwa ngapi ili hali hapo dodoma shule hazina madawati?