Hatimae Sabodo achangia harusi.

Tumeanza kuendekeza Umaskini hata kwenye mambo ya kijamii??..Umaskini hautaondoka kwa stahili hii ndugu yangu..mwache Dr Slaa afurahie ndoa yake bwana tusianze kumuwekea masharti kibao.

Ni OMBI tu ndugu!!, hilo kwamba sharti unasema wewe!!.
 
cha umuhimu ni hizo pesa anazo toa huyu Bw., jee i hope zisiwe TAX deductable. Kwani mara nyingi wafanyi Biashara wakubwa wanatoa misaada alafu baadaye wanadai lazime zipunguzwe kwenye kutoa kodi.

Pia sioni sababu ya Dr Slaa kuhitaji msaada wa kuoa, mshahara wake unatosha sana, pamoja na akiba ya toka bungeni.

La pili hii forum iko biased sana na vyama vya kisiasa vingine.
 
Hii habari ni ya kupikwa haiweze kani harusi itakayo fanyika Karatu ikagarimu kiasi kikubwa namna hii... Kwa jinsi navyo mfahamu mzee Sabodo hawezi fanya kitu kama hicho...

Na kama ni kweli ilijambo litanishangaza sana kwani huko ukutakuwa ni matumizi mabaya ya fedha ambapo Slaa mara zote amekuwa akipinga serikali kuwa na matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi wa nchi hii

Itakuwa ajabu sana kama harusi ya Dr.Slaa itagarimu zaidi ya 15 million

Harusi ya Ridhiwani Kikwete iligharimu 135millioni...
Tatizo lako unawaza kwa kutumia hizo kengeza zako!
 
Dr. Saita...

Wairaqw tuna huruma. Pongezi nyingi kwa hatua kubwa za kufunga Ndoa. Tunasikia michango mingi kwa ajili ya harusi yako na michango mingine mingi itakuja. Itakuwa busara ukitumia sehemu kubwa ya fedha hizo kusaidia kwenye elimu au watoto yatima kuliko kuziteketeza kwa siku moja kwenye harusi. Kila mtu angependa kuhudhulia hiyo harusi, nafikiri ukilipia kituo cha television kimoja ikaonyesha live tukio hilo itasaidia sana then wewe na watu wa karibu wachache mkakusanyika mahali kusheherekea.
NAUNGA MKONO HOJA. Siyo tu WAIRAQ hata mahali pengine pa nchi.

Anaweza akaalika watu wa chache na pesa nyingine ikapelekwa katika mahali pa maendeleo anakuwa mfano yeye kama kiongozi.

Itakuwa ni aibu kusikia "ndoa ya dr yagharimu mamia ya mamilioni"

Iwe ndogo na nzuri pia.
 
Huwa maombi kama haya unayatoa kwa wote wanao funga harusi au umeamua kuanza kuleta badiliko la kiakili kwa Dr wetu. Muacheni Dr afurahie sherehe yake na mpendwa wake. Sherehe ya kwenye runinga utaiona akipigiwa mizinga 21.
 
Huwa maombi kama haya unayatoa kwa wote wanao funga harusi au umeamua kuanza kuleta badiliko la kiakili kwa Dr wetu. Muacheni Dr afurahie sherehe yake na mpendwa wake. Sherehe ya kwenye runinga utaiona akipigiwa mizinga 21.

Si mbaya kwenye hili, yeye kama kiongozi akionyesha mfano. Binadamu tuna tabia ya kuangamiza hela nyingi kwenye mambo kama haya wakati kuna watu mlo mmoja kwa siku ni shida, watoto hawana madawati, vitabu shuleni. Akiwasaidia hawa kwa yeye kujinyima, atapata baraka nyingi sana.

Vile vile itakuwa ni kama sherehe yake kwa waTanzania wengine.
 
Mkuu kwani Sabodo ni serikali? Kawaulize serikali ya CCM kwanini hatuna visima vya maji.

Nadhani alikuwa Ana maanisha huyu rais kukubali hizi million kwa harusi. Anataka apeleke kwennye maji.
Nami naunga mkono hoja.
 
Atakuchimbia visima na then atakuletea ata nguo za kubadilisha anyways Sabodo kafanya mengi sana Tz wewe umefanya nn bora mie nagawa ujuzi
 
Shillingi Million 60? Zote hizo za HARUSI wakati Watanzania hatuna VISIMA VYA MAJI?

Uhusiano wa visima na harusi uko wapi mkuu. We hela zako unazopata umechimba vingapi? Kodi za wananchi zinafanya kazi gani kama Sabado ndo awe anachimba visima? Aki hiari kutumia fedha yake anavyotaka si kosa acha propaganda
 
Shillingi Million 60? Zote hizo za HARUSI wakati Watanzania hatuna VISIMA VYA MAJI?
ha! Kwani baba yenu yule msitake kumbebesha mzigo usiomhusu.hilo swali muulize kikwete na mawaziri wake
 
Back
Top Bottom