Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,530
- 6,118
Pale chama kinapoingilia majukumu ya serikali
Mkuu msamehe bure ukiwa kwenye jezi za kijani hata ukiwa na akili kama Nikola_Tesla huwa zinarudi na kuwa kama za mtoto,hajui hata serikali inaongozwa na CCM lakini bado inahudimia wananchi wa vyama vyotePolepole anazidi kuwagombanisha watu badala ya kuwafanye wawe kitukimoja kupitia itikadi za dini,kwani anasema kwamba kiongozi wa dini akiwa na mwelekeo wa chama Fulani mtu wa chama kingine hawezi kwenda kwake kwa maana ya kwamba wana ccm wawe na maaskofu wao na wana chadema wawe na maaskofu wao kwa maana tu,wote ni wanachama wa chama husika,ameshindwa kuelewa kwamba askofu anaweza kuwa na itikadi ya chama Fulani lakini kwa upande wa dini akawa anawaudumia watu wa vyama vyote,hilo yeye Polepole halioni na kama ameshindwa kuliona hilo vipi ataona ualali wa mwana ccm kumuudumia mwana chadema katika hali ya kawaida? watu wenye mawazo kama ya Polepole hawatufai kabisa katika nchi hii ndio maana sasa hivi inaanza kujitokeza kwamba mwana chadema akipata tatizo kama alivyopata Lisu mwana ccm anashindwa kwenda kumuona na akienda anafikiriwa vibaya, hivyo polepole lazima aonywe mapema kwa huo mtazamo wake
hahahaha watu mna vituko kwamba polepole ni rika la mzee kingungeRika la Mzee Kingunge
Baada ya maaskofu kuliamsha dude kuanzia kipindi cha Salam za krismasi na salam za mwaka Mpya, hatimae katibu mwenezi CCM ndugu Humphrey polepole amejitokeza na kuwaomba maaskofu waishauri serikali sirini kwani kwa hali ilivyo sasa ni kama wanaidhalilisha, Rais yuko tayari kupokea ushauri na kuufanyia kazi.
My take
Kila shetani ana mbuyu wake ukimya wa maaskofu na mashehe umetuumiza sana kama taifa na sina shaka wameamuka usingizini baada ya Askofu niwemugizi kuelekezewa bomba la moshi, pia salam zangu za pole ziwafikie Clouds Media
Jinga kabisa huyu mpumbavu.huyu polepole bwana,eti majadiliano yanayoendelea hajui yametokea wapi? alisha anza kusingizia kakobe ni CDM
yani CCM bwana ukiwakosoa tu wanasema wewe ni CCM-Wana mentality ya ajabu
Wachezee watu wengine lakini sio watu wa MunguSindano za maaskofu kumbe kidogo zinawaingia kumbe,
Maaskofu ongezeni Cc tafadhali
Hakuna kitu hapo. Nyaraka zilikuwa zinamlenga mtu maalum kwa malengo maalum.Bado waraka wa Katoliki utatoka very soon. Lazima Magufuli anyooshwe kwanza hadharani ili ajijue kuwa yeye sii Mungu wa miungu!
hahahaha watu mna vituko kwamba polepole ni rika la mzee kingunge