Hatimae Polepole awaangukia Maaskofu

Hatimae Polepole awaangukia Maaskofu

Mwanzoni Alikataa kukutana na Maaskofu, Viongozi wa dini...Hii ilikuwa 2016 au 2017

Mara baada ya kutoa matamko ya kufuta mikutano ya siasa na bunge live, Serikali (Rais) aligoma kukutana na Viongozi wa Dini kwa ajili ya mazungumzo na upatanisho.

Taifa limegawanyika, kuwa na mawazo mbadala ni uadui na Upinzani ni Maadui

Wale wanaoisifia Serikali na CCM peke yao ndio Wazalendo, Wanaotoa mawazo mbadala ni maadui...Hata baadhi ya wanaCCM wenyewe wana mawazo mbadala ila wamejazwa hofu

Kipindi kile cha Nyerere au Mwinyi, aliruhusu mijadala huru....Mfano G 55
 
Ujumbe wameupata, Mungu nfo wa kuabudiwa na si mwanadamu
 
Bado waraka wa Katoliki utatoka very soon. Lazima Magufuli anyooshwe kwanza hadharani ili ajijue kuwa yeye sii Mungu wa miungu!

OOh, Kura zinapungua sasa, Shaka shakani

Hata baada ya Kufuta mikutano ya Hadhara na bunge live, bado hajapendwa

Yeye kila kitu anaita makamera ili awe live peke yake....Je watu wanakuwa hawako kazini

Na Wale viwavi wachumia tumbo kazi yao ni kushangilia tu na kutukana wenye mawazo mbadala

Hawana hoja, yao matusi tu, ndio maana hata UDC hawapewi, ni makarai tu
 
Mwezi wa 12 atakua alipata frastresheni sana hakyanani!! Nadhan waliona yanayotokea huko congo, maaskofu sio watu wa kuchezea!!


75dda4c951140158047aa05496348c6d.jpg
 
H
Baada ya maaskofu kuliamsha dude kuanzia kipindi cha Salam za krismasi na salam za mwaka Mpya, hatimae katibu mwenezi CCM ndugu Humphrey polepole amejitokeza na kuwaomba maaskofu waishauri serikali sirini kwani kwa hali ilivyo sasa ni Kama wanaidharilisha, Rais yuko tayari kupokea ushauri na kuufanyia kazi.

My take
Kila shetani ana mbuyu wake ukimya wa maaskofu na mashehe umetuumiza Sana Kama taifa na Sina Shaka wameamuka usingizini baada ya Askofu niwemugizi kuelekezewa bomba la moshi,pia salam zangu za pole ziwafikie Clouds Media

Just simply, in the principles of community development, the only organization that is the strongest of all people's based societies Faith Based Organization is identified as one. So if you mess up with your relationship expect to get the throw of the hell by 2020, no mercy, no mercy!!! That's why we say, "if you scratch my back I will scratch yours"
 
Polepole, mchungaji akienda kuombea Mkutano wa Chadema tayari ni Chadema? Kwahiyo Shekh wa Mkoa wa dar es Salaam ni CCM? Pengo ni CCM?

Haya turudi kwa aliyo yasema, nini kakobe katereza, Katiba inaruhusu Vyama kufanya Siasa, kwanini imezuiliwa? watu kupotea na Kupigwa Risasi, hilo nalo ni kawaida kwa CCM? kwahiyo sasahivi wakosoaji dawa yao ni risasi?

Polepole, Ubabe haujawahi kujenga taifa lolote, mmeambiwa kukaa kimya kwa Watanzania msitafsiri Amani, msilewe mpaka Watanzania wakajua mmelewa.
 
Nadhani shetani ndo,uvizia kisirisiri.huyo nae anatakakutimiza kazi ya shetani. Nivigum kwa Askofu anaejua kazi yake kumtemea binadam.
 
Yaani JPM alivyo kaa kimya wapinzaniwake wa kisiasa wanaumia sana. Nimependa polepole ulivyo ongea.
Kama ungekua mpira apa Tanzania basi umecheza kama Papii Kabamba Shishimbi. Umefunika vibaya sehemu ya kiungo. Umemrahisishia kazi na 9 wako JPM .Kwa sasa anasubir umpe pasi atupie Nyavuni , namba 9 asiye na makosa katika kufumania nyavu za wapinzani.
 
Polepole anazidi kuwagombanisha watu badala ya kuwafanye wawe kitukimoja kupitia itikadi za dini,kwani anasema kwamba kiongozi wa dini akiwa na mwelekeo wa chama Fulani mtu wa chama kingine hawezi kwenda kwake kwa maana ya kwamba wana ccm wawe na maaskofu wao na wana chadema wawe na maaskofu wao kwa maana tu,wote ni wanachama wa chama husika,ameshindwa kuelewa kwamba askofu anaweza kuwa na itikadi ya chama Fulani lakini kwa upande wa dini akawa anawaudumia watu wa vyama vyote,hilo yeye Polepole halioni na kama ameshindwa kuliona hilo vipi ataona ualali wa mwana ccm kumuudumia mwana chadema katika hali ya kawaida? watu wenye mawazo kama ya Polepole hawatufai kabisa katika nchi hii ndio maana sasa hivi inaanza kujitokeza kwamba mwana chadema akipata tatizo kama alivyopata Lisu mwana ccm anashindwa kwenda kumuona na akienda anafikiriwa vibaya, hivyo polepole lazima aonywe mapema kwa huo mtazamo wake
 
Ukiona hivyo,wameshindwa kumshauli kwa siri.na yeye ndio sifa yake kubwa.wacha waseme wazi ili ajue kwamba ,hatakiwi kujiona kama yeye ndio kilakitu.
 
Polepole kwanza vizuri kama kondoo Vila anaendelea huku ni kama mbwa mwity
 
Ni kweli lakini!! Mfano ukimwangalia askofu Pengo unaiona ccm! Kwa hiyo yeye ni mnufaika wa ccm,hawezi ku sacrifice kitumbua kitamu anachopata huko ccm eti kwa ajili ya Mungu! Huo uaskofu is just a sugar coated in a bitter pill! Waislam walishagawanywa na maneno kama hayo,leo kuna wanaoiona bakwata kama jumuia mojawapo ya ccm,hawataki hata kuisikia,wakristo nao wanaelekea huko,maaskofu wa makanisa ya kipentekoste ndiyo wanaoonekana kuwa na guts za kuikemea serikali hadharani na polepole amesha wa brand kama ni wa chama fulani,kwa nini asiseme kuwa upentekoste unaipinga ccm badala yake alazimike kuufungamanisha na chama fulani asichokipenda? Je kama mbinu ya ccm kuumaliza upinzani ikifanikiwa na wakati huo hao maaskofu wakitazamwa kwa jicho la kichama pinzani maana yake wao pia watakuwa wamemalizwa,kuna waumini wasio na chama ambao hawatakubali hilo litokee!! Watakuwa upande wa baba yao wa kiroho(askofu)na kwa kufanya hivyo watakuwa nao wamejiingiza kwenye vita isiyowahusu itakayopelekea nao wamalizwe! Tanzania ni zaidi ya chama,kama mtu yeyote akikupinga kwa jambo analoliona kuwa umelikosea wewe ukaamua kumvalisha uchama basi utakuwa na matatizo!
 
Back
Top Bottom