Hatimae Polepole ajibiwa na wana Arusha, kula chuma hichoo

Hatimae Polepole ajibiwa na wana Arusha, kula chuma hichoo

Jana kulikuwa na extra vaganza na wasanii walikuwepo kwa ajili ya performance pale uwanja wa Mgambo Gymkana, hizo ni Events zilitangulia hiyo performance...Sasa unadhani watu walikuja kumuunga Samia Mkono? jibu ni Hapana...

Unajua the war being fought here is somewhat psychological, ni kuwakatisha watu tamaa kwa namba ya watu, lkn wametumia bei gani kufanya hizo Extra vaganza na kama Hilo box kabeba mtu mmoja Mwenye maoni yake binafsi, unadhani nn maoni ya wengine???

Sasa, judge kwa fact utapata jibu.....

Unajua, these guys may use millions to billions ili tu wapate hiyo picha?
 
Siri ya moyo ni kichaka,hao unawaona leo wamebeba mabango kwa buku mbili kumbe unaweza kuta moyoni wanatembea na No reform no Election.
Muhimu:Turekebishe mifumo ya Uchaguzi ili wote tushiriki na Taifa libaki salama na upendo ukatamalaki kati yetu.
 
Bro unge kua unamanisha usinge ficha I'd alafu huku ni kwa waoga majasiri wako face book na ig mkuu siwezi kukupa taji la ushujaa upo jf siwezi kaka siwezi huku ni kwa waogaaa

Fullstop, kwishaaa
Sawasawa, lakini upepo haupimwi mitandaoni, haya ni maisha halisi ujue. Endeleeni kujifariji tu, lakini siku yaja
 
Sawasawa, lakini upepo haupimwi mitandaoni, haya ni maisha halisi ujue. Endeleeni kujifariji tu, lakini siku yaja
Lissu yuko jela nilitegemea machafuko ili kushinikiza atolewe ndo kwanza watu wako wanalewa tu mtaani

Fullstop, kwishaaa
 
Sasa kushiriki jogging kuna ubaya gani. Kwa Arusha huo ni utaratibu karibu kila wikiend. Wengi wanapenda kuitumia hiyo platform ili wajipatie watu wengi.
 
Mkuu rejea msg yangu kwako ya kwanza ,naona unataka tupia mpira pembeni, Poleple ana balaa sio la Dunia hii
Si punde mtaonekana wajinga mkuu, hoja Gani sasa mpaka sa hii imeitetemesha ccm zaidi ni kukandamiza upinzani. Mpina kaanza na moto polepole akadai ni ccm b hapo kaumia nani ccm au upinzani wenyewe

Fullstop. Kwishaaaa
 
Kilichotangazwa na kuwakutanisha walio wengi, ni tofauti na kilichoendelea katikakati ya hicho kilichokusudiwa

Ccm si watu
 
Si punde mtaonekana wajinga mkuu, hoja Gani sasa mpaka sa hii imeitetemesha ccm zaidi ni kukandamiza upinzani. Mpina kaanza na moto polepole akadai ni ccm b hapo kaumia nani ccm au upinzani wenyewe

Fullstop. Kwishaaaa
Samahani pale nimekukwaza, naomba niletee likebo lile kutoka ccm kwenda Nida ,Nec niishi nalo nyumbani kwangu mkuu kama hutojali
 
Samahani pale nimekukwaza, naomba niletee likebo lile kutoka ccm kwenda Nida ,Nec niishi nalo nyumbani kwangu mkuu kama hutojali
Dahh samahani mkuu kama takukwaza nisamehe mkuu eti likebo na wee mtoto wa kiume uwe unalifanyia nini?

Fullstop, kwishaaa
 
Nmeshangazwa na umati mkubwa kiasi hicho sio Arusha ya miaka hiyo nayo ijua

Fullstop, kwishaaa
Na wasiompenda wanaruhusiwa kuandaa Jongingi hapo ndo democrasia Afrika inapokua ngumu au wanao Muunga mkono polepole Wanaruhusiwa kua na Joging ya mabango tue fair huwezi kupima mtu kwa propaganda hizi
 
Back
Top Bottom