Hatimae Polepole ajibiwa na wana Arusha, kula chuma hichoo

Hatimae Polepole ajibiwa na wana Arusha, kula chuma hichoo

MNAJITEKENYA NA KUCHEKA WENYEWE
Mi sio mwana ccm ila nazungumza kile kilichopo siwezi sema hapana kwenye ndio soko hivo sifatilii siasa kishabiki mbona wakikosea hua naongea

Fullstop, kwishaaaaa
 
Arachuga ya zamani sio ya sasa
Mbeya stand up!
Big up mwamba wewe ni mkweli achana nao hao wanadai mi ni ccm wakati hapa tunajadili hali halisi iliopo

Fullstop, kwishaaaa
 
Mimi nilidhani atawaandalia kombola zito zaidi kumbe yamemwishia
Huku mtaani hamna mwenye wazo na polepole ni wanasiasa tu ndo wanajadili wabongo hawana habari NAE Hilo no kosa ambalo linaitafuna zt mpaka kesho

Fullstop, kwishaaa
 
Huku mtaani hamna mwenye wazo na polepole ni wanasiasa tu ndo wanajadili wabongo hawana habari NAE Hilo no kosa ambalo linaitafuna zt mpaka kesho

Fullstop, kwishaaa
recently we have a good number of closed minded people in our country
 
Of recent we have a good number of closed minded people in our country
Bro usiseme closed minded people ilihali maendeleo yanaonekana kwa macho na sio stori God bless lema aliifanya kazi nzuri ila makonda hicho kichwa ni balaa nimekikubali aisee, mikoa mingine wakuu wa mikoa wamezubaa sana mwanza tu hapo mtanda ni porojo sana miradi holaa, na kama ipo ni ya awamu ILE, chuga wako wanajenga uwanja wa mpira mwingine tofauti na ule wa Samia, ushaiona airport yao ilivo sasahivi, Barbara zinazo jengwa? ni makonda effect hiyoo

Fullstop, kwishaaa
 
nimechunguza sura zote kwa makini sijaonapo ambae sio mlevi wa matapu tapu hao wamepewa buku mbili mbili
A town sio mji bakiwatu,ni mji wa pesa watu wako busy kusaka ngawila,sio mji wa kuendekeza porojo.
 
Mmeguswa kwenye G-spot, mnakojoa tu sasa..!!

Lamomy
Heeeee kaka samahani umelewa au Huwa ukiguswa kwenye g spot unakojoa, sa mbona haya si ya kuyaleta huku mkuu, ok hongera kwa alie kukojoza

Fullstop, kwishaaa
 
Bro usiseme closed minded people ilihali maendeleo yanaonekana kwa macho na sio stori God bless lema aliifanya kazi nzuri ila makonda hicho kichwa ni balaa nimekikubali aisee, mikoa mingine wakuu wa mikoa wamezubaa sana mwanza tu hapo mtanda ni porojo sana miradi holaa, na kama ipo ni ya awamu ILE, chuga wako wanajenga uwanja wa mpira mwingine tofauti na ule wa Samia, ushaiona airport yao ilivo sasahivi, Barbara zinazo jengwa? ni makonda effect hiyoo

Fullstop, kwishaaa
Tunaishi kwenye jamii ya kanyanga twende jamii ambayo wengi wao hawawezi kuchakata fikra chanya na hasi jamii unayo weza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe

Jamii ambayo imekubali kuongozwa kwa mfumo wa unyumbu wa kisiasa ambao ni mfumo unao wezesha wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi kwanjia ya kujipendekeza ama kwa uoga wa kuigiza, (unafiki), kwa viongozi wao a.k.a kujizima data tuseme Kuahirisha kufikiri kizalendo

Wanyama aina ya nyumbu huongozana kwenye msululu kwa kupita mabonde na mito bila kuangalia hatari itakayo jitokeza mbeleni, hutumia akili za pamoja, (the same mind set), hata wakiona hatari ya mamba wakubwa wenye njaa wao huenda tu huku wakishuhudia wenzao wakiuumizwa na kuawa ama kuliwa lakini hupita hapo hapo lengo lao ni kufika wanako kwenda bila kujali hatari ama jinsi ya kukabiliana na majanga, ( no SMART goals setting)

Human herding in politics is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of working towards group objectives through unbecoming behaviors such a flattering or hypocrisy similarly working towards self-absorbed group
 
Sasa huyo mzee ambaye maisha yake yote kashindwa hata kununua baiskeli ya Tsh 150K na sasa kapewa ambayo kwenye mgawanyo wa deni la mama yake ni 1.4M na yeye anadhani kuwa hiyo baiskeli kapewa bure unataka akatae kubeba hilo bango aliloandikiwa?
 
Arusha miaka kadhaa nyuma ilikua ngome ya chadema Leo hii ni ccm damudamu

Fullstop, kwishaaaa

View attachment 3450416
Naomba likebo wanileetee Niiishi nalo nyumbani kwangu .

SSH indelea kuwa Rais katika uchaguzi huru na haki mie sina shida nalo , na hakuna mwananchi atakataa hii maana katika ushindani kuna kushindwa na kushinda , so watulie kama nchi tunakazi ya kufanya kwamba tunatokaje hapa.

Uyo amebeba kiboksi sio mda Mungu atasema naye ,Taifa liko katika hali ngumu kuliko wakati wowote ule ,alafu wanaleta ujinga .
Hii nchi siyo ya ccm ni ya watz wote na lazima tueshimiane
 
Mkuu sasa hapo kijana kakosea nini, ni haki yake kikatiba ajatusi mtu ni ujumbe tu

Fullstop, kwishaaa
 
Mkuu sasa hapo kijana kakosea nini, ni haki yake kikatiba ajatusi mtu ni ujumbe tu

Fullstop, kwishaaa
Huwezi shabikia dhuluma na kubaki salama mbele za Mungu ,mkuu ,naongea hili kwa ujasili mkubwa ,Mungu atasema naye asema Bwana na imekua
 
Samahani wakuu mwenye NAMBA za polepole mtumieni hii ili ajibu mapigo.

Fullstop, kwishaaa
 
Huwezi shabikia dhuluma na kubaki salama mbele za Mungu ,mkuu ,naongea hili kwa ujasili mkubwa ,Mungu atasema naye asema Bwana na imekua
Mmhhh we ni mlokole mkuu

Fullstop, kwishaaa
 
Back
Top Bottom