Hatimae nimeupata ubavu wangu

Hatimae nimeupata ubavu wangu

Hongera sana maana ulifanya juhudi nyingi hadi ukaweka picha zako humu! Lakini ukampata mtaani, sijui nako ulibandika kwenye kuta na miti?
 
mtakumbuka niliwah weka thread ya kutafuta mwenz wa maisha..ingawa ckusema but moyon niliahid ntakapompata ubavu wangu wa kweli bas nirudishe ripoti
kama ambavyo jf mlijua kuwa natafuta mwenz basi ni vyema pia mkajua kuwa nimepata
...but siyo wa humu jf
ahsanten

Apataye mke amepata kitu chema but duu kijana juzi tu hata wiki mbili hazijaisha? Kweli digital ni ya kuheshimu sana.
 
Back
Top Bottom