Hatimae nimeupata ubavu wangu

Hatimae nimeupata ubavu wangu

Nikutakie kila la kheri mkuu, nakumbuka thread yako ulivyoeleza jinsi ulivyoumizwa.
 
kila la kheri,vp umempatia kona ya bwiru nn?
 
Mshafunga ndoa? kama bado ni mapema sana kushangilia, ucje baadae ukaja na uzi mwingine....!
 
Hongera sana!!!!!!
natamani diamond awatolee single kuwapongeza......
 
Back
Top Bottom