Hatimae mwarobaini wa uraia pacha wapatikana

Hatimae mwarobaini wa uraia pacha wapatikana

pakaywatek

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
4,710
Reaction score
6,372
Ni membe amesema akiwa rais atakubali watu wawe na uraia wa nchi mbili diaspora mmepata mtetezi muungeni mkono mh membe awe rais
source: maneno yake bungeni.
 
Kama ni kweli amesema basi hafai kuwa hata waziri. Na ukiona hivyo basi ujue mmoja wa watu wake ameshaukana uraia wa tanzania hivyo anabuni mbinu apewe uraia wa tz.
 
kabla hamja elewa hii ishu ya uraia wa nchi mbili... tafuteni advantage na disadvantage za uraia wa nchi mbili na je nchi yetu itamudu hiyo ishu?
msitumie ushabiki wa siasa kwenye mambo ya maana kama haya
 
Kama taifa tunahitaji kuwa na dira ha namna mambo Kama haya yapaswa kutizamwa. Uraia wa Nchi mbili kwa manufaa gani kwa Nchi?
 
Uraia pacha una mipaka Yake na mashariti Yake,kwahiyo watanzania msiogope kuhusu hilo
 
Kama taifa tunahitaji kuwa na dira ha namna mambo Kama haya yapaswa kutizamwa. Uraia wa Nchi mbili kwa manufaa gani kwa Nchi?
Na ni hasara gani Nchi itapata. Nchi ngapi duniani zina uraia Wa Nchi mbili.
 
Watanzania bwana akili zetu n matope kabisa!!.. uraia pacha n suala la muda tu.. hiv kwann huwa hatupendi kubadilika mpaka mabadiliko yatubadilishe kwa nguvu..!?

Uraia pacha hauzuiliki kwa dunia ya sasa.. waziri wa mambo ya ndan kumvua mtz wa kuzaliwa uraia wake n kinyume cha haki za binadamu..

So wote waliothiriwa wanaweza kuishtaki serikali ya Tanzania
 
Aliyesema watz tumo kwenye chupa hakukosea.. yaan jitu linalopoka tu, halijui concept za citizenship zinavyooperate anabisha!!

Hivi tutakuwa wa mwisho mpaka lini.? Nchi jiran zote za EAC zimeruhusu uraia pacha..

Uraia n sehemu ya haki za binadamu..

Mbona leo mtu akizaliwa Dar na wazaz wakikurya, wakurya wa musoma hawamkani na wala hawambagui na inawezekanana kabisa asijui kikurya

Tutakuwa wa mwisho mpaka lini
 
Kama ni kweli amesema basi hafai kuwa hata waziri. Na ukiona hivyo basi ujue mmoja wa watu wake ameshaukana uraia wa tanzania hivyo anabuni mbinu apewe uraia wa tz.

tukumbuke kwenye bunge la katiba membe alilitetea lakini wabunge wengi wa ccm ndio walilikataa sijui kama akipata urais watamuunga mkono.
 
tumalizane na wezi wetu halafu tuanze dual citizenship
 
Nimefurahi sana kusikia hili .

Afro nakuaminiaga sasa tena unamsifu mtu mmoja wakati unafahamu hiyo haistahili kuwa sera ya mtu! Alikuwa wapi miaka yote hiyo akiwa serikalini?

Hilo ni suala la kitaifa. Ubaya liligeuzwa likawa ni kwa wale walioko nje ya nchi kutaka uraia wa TZ na walioko TZ hawakuonyesha hamu ya kuwa na uraia wa nchi nyingine!
 
Aliyesema watz tumo kwenye chupa hakukosea.. yaan jitu linalopoka tu, halijui concept za citizenship zinavyooperate anabisha!!

Hivi tutakuwa wa mwisho mpaka lini.? Nchi jiran zote za EAC zimeruhusu uraia pacha..

Uraia n sehemu ya haki za binadamu..

Mbona leo mtu akizaliwa Dar na wazaz wakikurya, wakurya wa musoma hawamkani na wala hawambagui na inawezekanana kabisa asijui kikurya

Tutakuwa wa mwisho mpaka lini

Wewe mwenyewe upo kwenye chupa mkurya wa musoma akizaliwa dar maana yake ni kwamba kazaliwa newyork ???? Hapa tunaongelea utanzania sio makabila ,
 
Back
Top Bottom