A Asilia Member Joined Feb 18, 2008 Posts 24 Reaction score 5 May 30, 2015 #21 Unafiki wa kisiasa ni mbaya sana....alikua wapi kupigia debe kwenye bunge la katiba....wanawaona watu majuha sio
Unafiki wa kisiasa ni mbaya sana....alikua wapi kupigia debe kwenye bunge la katiba....wanawaona watu majuha sio
OLESAIDIMU JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 19,139 Reaction score 9,575 May 30, 2015 #22 Kuku na mamaye juu ya hadithi ya kunyonya. . . . . .
C Casa JF-Expert Member Joined Sep 20, 2010 Posts 329 Reaction score 157 Jul 31, 2018 #23 Suala la uraia pacha lisisahaulike katika mkakati mzima wa serikali ya viwanda. Tanzania haitapata hasara kwa uraia pacha zaidi ya faida za kutumia vizuri raslimali watu.
Suala la uraia pacha lisisahaulike katika mkakati mzima wa serikali ya viwanda. Tanzania haitapata hasara kwa uraia pacha zaidi ya faida za kutumia vizuri raslimali watu.