Isalia
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 1,211
- 435
acha u.p.u.m.bavu, alikwambia hawa wasaliti walitofautiana na mbowe nani? hii misaliti ya chama si wa mbowe. we must get ridoff.
punguza hasira kijana huo ni ukweli yeyote yule mwenye mawazo tafuti na mbowe na slaa hasa kuhoji ruzuku ya chama na kutaka uongozi wa juu kubadilika utaitwa msaliti tu