Hatimae "M" wengine waanza kujitokeza

Ccm haiwezi kuwa sawa na wauwaji, wamwagia watu tindikali, walisha sumu na walipua mabomu.mijitu inayobinya demokrasia, inayoogopa uchaguzi. Chadema inaongozwa kwa misingi ya ulaghai uhuni na ubabaishaji
Hivi CCM imewahi kuwa na wagombea wa nafasi ya uenyekiti?
 
Kweli "kikulacho ki nguoni mwako"

Baada ya MM, MI, M2 na M3 kujulikana hatimaye "M" wengine waanza kujitokeza na kutoa matamko yanayo pingana na maamuzi ya chama na yaliyo ya wengi ambapo kwa mtu mwenye akili unaweza kujiuliza, je hawa wote walikuwa kundi moja nini? je huu sasa ni wakati wao wakutoa na kuonyesha makucha yao? Ama pengine huu ni muda mwafaka wa chama kuwafahamu wale wote wasio na mapenzi ya dhati kwa chama na wanaotumika kukivuruga chama?

Kwa kweli nabaki najiuliza maswali bila majibu, lakini nasema sitovunjika moyo, sitarudi nyuma na nitasonga mbele daima na kuamini katika mabadiliko ya kweli kwa mustakabali wa Taifa hili na vizazi vyake vijavyo.

ahahaa. nikisikia news za "M"huwa nakumbuka senema za james bond 007. hao ma M's Moneypenny wao ni nani?
 
Kweli "kikulacho ki nguoni mwako"

Baada ya MM, MI, M2 na M3 kujulikana hatimaye "M" wengine waanza kujitokeza na kutoa matamko yanayo pingana na maamuzi ya chama na yaliyo ya wengi ambapo kwa mtu mwenye akili unaweza kujiuliza, je hawa wote walikuwa kundi moja nini? je huu sasa ni wakati wao wakutoa na kuonyesha makucha yao? Ama pengine huu ni muda mwafaka wa chama kuwafahamu wale wote wasio na mapenzi ya dhati kwa chama na wanaotumika kukivuruga chama?

Kwa kweli nabaki najiuliza maswali bila majibu, lakini nasema sitovunjika moyo, sitarudi nyuma na nitasonga mbele daima na kuamini katika mabadiliko ya kweli kwa mustakabali wa Taifa hili na vizazi vyake vijavyo.
"Kun Faya Kun" ... analolitaka Muumba lazima yatatimia tu! Huu ulikuwa mpango wa mungu kuwaumbua wote wenye kudhulumu haki za watanzania, wote wenye kutumiwa lazima watajiumbua wenyewe...
 
Bado najiuliza dhamira ya Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba katika kushughulikia tatizo lao CHADEMA. Pamoja na makosa mengine ambayo wameyakubali kwenye Kamati Kuu huku wakiyakana kwa waandishi wa habari, usomi wangu haunishawishi CDM iwasamehe km walivyoomba lkn wakishikilia msimamo wao wa kutomtaja M2 ambaye kwa maelezo yao yuko katikati ya viongozi wakuu pale makao makuu.

Hivi ni ombi la kweli la msamaha wenye lengo la kumaliza tatizo na kurudisha imani ya viongozi na wanachama wao ikiwa pamoja nasi wananchi kwao huku wakiwa wameficha taarifa nyingi na hatari? Kweli CDM wawasamehe MM, M1 na M3 huku hawataki mwenzao M2 nae ajulikane na anufaike na msamaha? Ina maana CDM ikubali tu kukaa na "nyoka" ndani?

My take:
Sharti mojawapo la mapacha watatu hao kusamehewa ni kumtaja M2 na kuuthibitishia Umma kuwa ni kweli wamekuwa wakitumika na CCM na TISS, kuuza majimbo kwa Mo Dewji, Nimrod Mkono na Pinda. Kama hawawezi kumtaja M2 basi dhamira yao mbaya bado wanayo na CDM iwapunguze tu wakatafute majukwaa mengine. Pamoja ya kuwa mm sio m-CDM lakini sipendi unafiki hasa kwa sisi vijana kwani tunahatarisha taifa lijalo ambalo tayari wameahaliharibu na wanaendelea kulivuruga.
 
umenena mambo mambo ya msingi sana , maana huwezi ukaomba msamaha wakati bado unaficha makosa mengine, kwa akili ya kawaida ni lazima m2 ajulikane vinginevyo wa cdm tutakuwa na maisha ya hofu kuwa kuna mbwa mwitu katikati ya kondoo
 
Mie bado nimelala... acheni kwanza!
 
Kweli "kikulacho ki nguoni mwako"

Baada ya MM, MI, M2 na M3 kujulikana hatimaye "M" wengine waanza kujitokeza na kutoa matamko yanayo pingana na maamuzi ya chama na yaliyo ya wengi ambapo kwa mtu mwenye akili unaweza kujiuliza, je hawa wote walikuwa kundi moja nini? je huu sasa ni wakati wao wakutoa na kuonyesha makucha yao? Ama pengine huu ni muda mwafaka wa chama kuwafahamu wale wote wasio na mapenzi ya dhati kwa chama na wanaotumika kukivuruga chama?

Kwa kweli nabaki najiuliza maswali bila majibu, lakini nasema sitovunjika moyo, sitarudi nyuma na nitasonga mbele daima na kuamini katika mabadiliko ya kweli kwa mustakabali wa Taifa hili na vizazi vyake vijavyo.
Mkuu, samahani naomba unijuilishe hao (red bolded) ni akina nani? Kwa majina tafadhari maana mie sijawafahamu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom