witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,747
Ndo akina nani hawa best, siwajui kabisaWako wanatiana fresh tu.

Insta huyo Kelvin anajiita nani?
Ndo akina nani hawa best, siwajui kabisaWako wanatiana fresh tu.

KyomaAcha hizo
Mateller? Nimekushusha gradeMi nakula wadada wa bank wale


Unataka kunitwisaDuh aise hyo profile yko unatafuta ugomvi
Ova
Mi nataka choka mbaya, tuanzie kulala kwenye mkeka



Watakupa mapesa😋Mi nakula wadada wa bank wale
Tela anapokea one na point shost, sio habaMateller? Nimekushusha grade
Teller na bartender hamna tofauti, full njaa
Mi nataka choka mbaya, tuanzie kulala kwenye mkeka![]()
Teller wa bank gani apokee mkwanja wa dizain hiyo?Tela anapokea one na point shost, sio haba
MI nna shost yangu alianza na mshahara wa laki saba mwaka 2013,sahivi anapokea million na laki ngap sijui, aliniambia hivyoHehehe
Laki 6 net
Teller wa bank gani apokee mkwanja wa dizain hiyo?
Mateller njaa Kali tu ,sema wanajikutaga nan sijui wakivaa uniform za bank kumbe tunawajua nje ndan had salary wanazoramba .
Ina mana alinidanganyaMI nna shost yangu alianza na mshahara wa laki saba mwaka 2013,sahivi anapokea million na laki ngap sijui, aliniambia hivyo
Ulitarajia atakwambia ukweli?MI nna shost yangu alianza na mshahara wa laki saba mwaka 2013,sahivi anapokea million na laki ngap sijui, aliniambia hivyo
Haaaaa, haya best sijui kwanini kanidanganyaUlitarajia atakwambia ukweli?
Ungeona salary slip yake ndo ungeamini sio storee za mdomoni
Narudia teller take home ni 450k-600k
Tumia ruler kupigia mstariIna mana alinidanganya