Hatimae JUDGEMENT @ YNNAH now in full couple! (special c.c Baba v & Watu8)

Hatimae JUDGEMENT @ YNNAH now in full couple! (special c.c Baba v & Watu8)

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,789
Wana wa Bodi wenzangu, kwa heshma kubwa, sanjari na taadhima.
Fursa naichukua kulifahamisha jukwaa, kwamba watajwa hapo juu tuliingia ndoani rasmi tr. 11 may 2013 Tanga mjini.
Labda mtaniuliza ni vipi ilikua ghafla?.
Sababu ni Mjomba wa Bride aishie Canada alikuja ghafla na akashauri hilo lifanyike, nasi tukaridhi.
Kuna watakaouliza ilikuaje couple hii ilichukua muda mrefu haiwi confirm?
Kiukweli still , tuliona ni kwanza tusomane mienendo.
Coz marriage is not a trial game!
To find a wife, you nid to be a chooser!
That's make conscious choices, to avoid women who may are troubled sometimes.
I really sincerely want you find the wife of your dreams, as she will trully make your life beyond wht you could have ever imagined!
Probably mdau mwenza utataka even hints abt me?
Yes i'm very happily married to the woman of my dreams!
Na daima naamini yale niliojipangia, aidha niyafanyayo.
My purpose is not to offend anyone, rather help those are want to find a Bride.
I just want to convey in an honest way! What my experience in life has led to in terms of findin a your other half.
Nimalize kwa kusema mambo iko Tanga.
Kwa kumbukumbu za usajili nawaomba wahusika Chtcht wafanye wajibu wao.
Copy :- Membars Chitchat wote! Natamani kuwa mention but kwa uwingi wenu nachelea UZI utakua SHUKA.
Itoshe hivyo i'm sure humu wote ni waelewa!
YNNAH Pitchuna wangu ! My dream's WIFE wangu hebu NICHUMM!
 
Last edited by a moderator:
siku hizi ndoa zimekuwa bigijii unaitafuna then unatema.
 
Hongereni jaman.. My shem plz take a good care of my sis
 
siku hizi ndoa zimekuwa bigijii unaitafuna then unatema.

Swadakta!
Zile za kutongozeana uwanja wa Fisi! Zitawachaje kua hivyo?
Staki kuamini utapafananisha Jeiefu na uwanja ule!
 
Batili, mwenyekiti manoah hana taarifa Baba V hana lake sa hv

Mkuu Chimbuvu unadhani hapa kuna haja ya ligi?
Hivi waweza mlazimisha mtu awe funs wa Man. U wakati anaitaka Arsenal ?
Always pipo stay with their choices! Au waonaje?
Watakaojiskia kupeleka kule wapeleke, na watakaojiskia huku wapeleke! Mi sipo ktk ligi na hilo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom