Hatimae gesi yashuka bei

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,876
Hii n habari njema kwa wananchi kuanzia Ijumaa gesi itashushwa bei.

Oryx kubwa 47-48 Alf beiya kuuza.

Oryx ndogo 19-20 Alf beiyakuuza.

Mihan kubwa 45-46alf beiyakuuza.

Mihan ndogo 19-20alf beiyakuuza.

NB:
BEI HIZI NI KWA HELA HALALIYA KITANZANIA...PIA ITATEGEMEA NA STOCK YA MTU..KAMA AJAMALIZA MZIGO WA ZAMANI TARAJIA KUKUTA BEI ILEILE..KWA MZIGO MPYA TU KUANZIA IJUMAA UTAUZWA HIZO BEI

RGDS
REV PDIDY
 
Mkoa gani
 

Hapo kwenye kujua kama stock imeisha au bado ya zamani tutajuaje, mitungi mipya ina nembo au alama?
Shukrani
 
Mihani KG 15(mtungi 30kg) walikuwa wanauza 52 kwahyo kupungua kwa 6k hamna Kitu ilitakuwa tuuziwe buku 25.
 
Last edited:
ilitakiwa iwe,ilitakiwa iwe,na ndo haijawa.wabongo tuko vizuri kwenye bei elekezi!!!!
 
Gharama Hii Bado Kubwa Sana Iwe 15000/- Watu Wengi Watumie Gas í ½í±‹í ½í±†
 
Bado kubwa sana! ishuke zaidi na zaidi, hivi si wanasema hapa Tz tuna natural gas jamani?
Bei ishuke zaidi
 
basi hapo 'stoku' ya zamani itaendelea kuuzwa hadi septemba mwaka huu! wabongo bwana!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…