BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,919
Kuna watu wanabahati, kuna wanaoingia kaburini hawajawahi kuvaa gauni hili wengine wanalivaa zaidi ya mara moja. Ninawatakia maisha ya heri na furaha mr and mrs Kusekwa.
Hahaha mkuu maneno yako yanatesa,lol