Hatimae Elon Musk kamwaga maji (Jamii ya mijusi)

Waterbender

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
6,828
8,685
Habari za muda poleni watanganyika wenzangu Mungu atutie nguvu na atuepushe na yule mwovu.
utangulizi

Hivi karibuni Moja ya watu mashuhuri duniani na wenye fedha kutokana na ubunigu wao hasa hasa kwenye nyezo ya teknologia ya habari,
Mtandano wa twitter unao milikiwa na Elon Musk hatimae umapeta mpinzani kwa jina la threads unai milikiwa na Mark zuckerberg, lakin inaonekana kuzua tafurani kidogo baina ya watu wawili.

jamii ya mijusi yani reptiles.
kumekuea na conspirancy theories ambazo zinahusisha kuwako wa viumbe jamii ya mijusi walio valia sura za binadamu lakin SILIKA yao ni mijusi, Baadhi ya watu mashuhuri kama Mark Zuckerberg Malkia Elizabeth na wengineyo.
Baada ya elon hupata mpinzani zuckerberg mzinduzi wa mtandao wa threads Elom Musk amepost kitu kwenye mtandao wake wa twitter ambacho kimezua maswali na kurudisha uhai wa yanayo semwa kuhusu jamii za mijusi, kwamba akimuita mark zuckerberg Lizard boy wakati zucker anahusiswa sana kuwa sio binadam bali ni elite kutoka society za mijusi inonekama kama ka utani lakin sivyo.
Dunia inamengi
 
Attachments

  • Screenshot_2023-07-08_163005.jpg
    Screenshot_2023-07-08_163005.jpg
    14.6 KB · Views: 12

Niko twitter na nimetembelea hiyo page sijaona comment kama hiyo
Isitoshe kusema conspiracy si za kuchukulia serious sana maana ni speculation zisizo na msingi
 
Elon kapita na upepo tu. Mark angekuwa mjusi ana uwezo wanaodai anao asingehangaika na metaverse mpaka project anaelekea kuitosa
 
Reptilian conspiracy theory​

Article Talk

"Reptiloid" redirects here. For the film, see Reptiloid (film).
Reptilians (also called reptoids,[1] archons,[2] reptiloids, saurians, draconians,[3][4][5] or lizard people[6]) are supposed reptilian humanoids, which play a prominent role in fantasy, science fiction, ufology, and conspiracy theories.[7][8] The idea of reptilians was popularised by David Icke, a conspiracy theorist who claims shapeshifting reptilian aliens control Earth by taking on human form and gaining political power to manipulate human societies. Icke has stated on multiple occasions that many world leaders are, or are possessed by, so-called reptilians.
 
Hata huyo Elon musk mbona nae ni jamii ya mijusi Kama alivyo George Bush,obama,bil gates,Hittler, Queen Elizabeth nk.
Mijusi ni watu ambao wapo level ya juu yaani illuminated Hawa Huwa na uwezo wa kubadilika sura.
Achana na imani za kijinga wewe jamaa. Hicho unachokisema ni ushirikina kama ulivyo ushirikina na ndugu zenu wanaotembea uchi usiku, hakuna cha mjusi wala mamba hapo.
 
Niko twitter na nimetembelea hiyo page sijaona comment kama hiyo
Isitoshe kusema conspiracy si za kuchukulia serious sana maana ni speculation zisizo na msingi
Hapa iyo app ya JF unayo tumia sasa from the begening Ili kuwa kama conspirancy stay tunne 6G itakushangaza 5G imekuja na AI ambayo miaka ya nyuma ilikuwa conspirancy theory
 
Hata huyo Elon musk mbona nae ni jamii ya mijusi Kama alivyo George Bush,obama,bil gates,Hittler, Queen Elizabeth nk.
Mijusi ni watu ambao wapo level ya juu yaani illuminated Hawa Huwa na uwezo wa kubadilika sura.
Wakianza kugombana wao kwa wao tutajua mengi
 
Hata huyo Elon musk mbona nae ni jamii ya mijusi Kama alivyo George Bush,obama,bil gates,Hittler, Queen Elizabeth nk.
Mijusi ni watu ambao wapo level ya juu yaani illuminated Hawa Huwa na uwezo wa kubadilika sura.
Lakini kiuhalisia wanatuogopa sana sisi binadamu wa kawaida... Nguvu zao na mahangaiko yao yote wanawekeza kutufanya tulale zaidi maana tukiamka watakiona cha mtemakuni!

Utawala na nguvu walitupora sisi kwa ujanjaujanja
 
Back
Top Bottom