Kuna malipo ya kila mwezi au
Dodoma ziko channel 11. Kuna itv, startv, capital, dw, tbc, citizen, channel ten, eatv... Alafu pia faida nyingine kinasoma hadi HDD drive kwa hiyo sio lazma urecord thro flash, movies games unaplay. Pia kama una hd screen na hd movies lazma ufurahie
Na daladala Azam, ukienda kupumzika zenj-Azam, sidhani kama hana mpango wa kuleta na Azam AirwaysHata na mimi nasubiri cha Azam, yaani ni full Azam; Unga wa ngano na mahindi, maji ya uhai, azam cola, juice ya azam, king'amuzi cha azam, channel ya kuangalia ni tv azam ikionyesha kipindi cha Simba tv.
Wadau msiendelee kupoteza hela kununua ving'amuzi kila cku, hawa ndo walewale tu. Chanel 24 ndo anaona nyingi za kutudanganyia sisi hapa JF! aeleze amekuja na kitu gani kipya ambacho wengine hawana! WIZI MTUPU!!!!Yaani channel 24 ni nyingi kiasi huwezi kuorodhesha? Are serious?
Leo nimeJiunga na familia ya King'amuzi cha Continental Tsh. 95,000/ tu, baada ya kuunganisha kwa kweli kimenifurahisha sana, picha zinaonekana vizuri, hakina chenga chenga, nimerekodi kipindi nitakiangalia baadae usiku, kwa kweli imenibidi nitoe na nitunze Star-times nilichokinunua Tshs. 45,000/ nimechoka na NO SIGNAL.
zipo nyingi siwezi oredhesha ....zipo 24!!!!1????????zipo 24, za ndani zote yaan itv, star tv, eatv, channel ten yaan ni nyingi za nje ni nyingi siwezi orodhesha zote hapa, malipo kwa mwezi hakuna
Leo nimeJiunga na familia ya King'amuzi cha Continental Tsh. 95,000/ tu, baada ya kuunganisha kwa kweli kimenifurahisha sana, picha zinaonekana vizuri, hakina chenga chenga, nimerekodi kipindi nitakiangalia baadae usiku, kwa kweli imenibidi nitoe na nitunze Star-times nilichokinunua Tshs. 45,000/ nimechoka na NO SIGNAL.
hahahahaYaani channel 24 ni nyingi kiasi huwezi kuorodhesha? Are serious?
nomAWakati mwingine matangazo kama haya ya biashara JF uongozi ufikirie kuyalipisha
Channel ngapi?Kina channel 24 nipo Mwanza, nimenunua katika ofisi za Sahara Media karibu na Mahakama Kuu Kitengo cha Biashara.