Hatimae choo cha Mbezi Stand kimeanza kujengwa

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,674
Reaction score
37,852
THX MANISPAA KWA KWELI ILIKUWA MWENDO WA UTI NA MENGINEYO

VYOO VIMEANZA KUJENGWA NA UJENZI UNAENDA KWA KASI NAONA ZILE 300 ZETU BILA RESIT ZIMEANZA KUFANYA KAZII

GODBLESS YOU ALL

GODBLESS YOUNG AFRICANS SC

TUKUTANE JION PALE CHINI
 
Miaka 60+ya uhuru bado watu wanazungumzia vyoo.

Nchi za wenzetu wanazungumzia

subways
EVs
Bullet trains
Kununua visiwa
 
Baada ya magufuli kukata kamba hadi vyoo vikaanza kuwa majanga kwa kweli samuya hatufai.
 
THX MANISPAA KWA KWELI ILIKUWA MWENDO WA UTI NA MENGINEYO

VYOO VIMEANZA KUJENGWA NA UJENZI UNAENDA KWA KASI NAONA ZILE 300 ZETU BILA RESIT ZIMEANZA KUFANYA KAZII

GODBLESS YOU ALL

GODBLESS YOUNG AFRICANS SC

TUKUTANE JION PALE CHINI
Hizo si zilipigwa moto M029 au unamaanisha vyoo vipi?
 
THX MANISPAA KWA KWELI ILIKUWA MWENDO WA UTI NA MENGINEYO

VYOO VIMEANZA KUJENGWA NA UJENZI UNAENDA KWA KASI NAONA ZILE 300 ZETU BILA RESIT ZIMEANZA KUFANYA KAZII

GODBLESS YOU ALL

GODBLESS YOUNG AFRICANS SC

TUKUTANE JION PALE CHINI
Asante Mama Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…